Wakuu naileta hii on behalf of Rafiki yangu
Anatatarijia kuhamia Arusha,sasa anataka kufanya exchange Deal kwa mwenye Nyumba au Kiwanja Arusha ili abadilishane na Nyumba hii iliyopo Zanzibar.
Toa...
Kichwa cha Habari chatajwa... Natafuta chumba cha Kupanga ambacho kodi yake kwa Mwezi haitazidi 30,000/- maana yake kwa miezi sita ni 180,000/-
Kiwe maeneo ya Kibamba hasa hasa Kibamba Chama au...
Habari zenu wadau, kwa wanotafuta filters (fuel, lube,fuel separator & air filter ) ya generator wasiliana na Fleetcare Ltd. Tuna outlet Dar, kwa mawasiliano zaidi.
dsm@fleetcare.co.tz...
Kiwanja cha makazi na biashara kinauzwa.kipo dodoma kisasa B center.kina mita za mraba 846.kina hati.na kibali cha ujenzi.tayari kina msingi mkubwa wa mawe tupu.Ni eneo hot cake kwa wanaojua...
Jiunge na Alliance in Motion ufurahie biashara ya mtandao(Network marketing) Ni kampuni iliyoanzishwa nchini Uphilipino mwaka 2006 ambayo inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za Afya ambazo...
Jamani Narudia Tangazo: Nauza Friza aina Ya Westpoint. Lina Uzito wa Kg 45 Jeupe ila Rangi ya Silver kwa Juu(Top door). Lipo kwenye hali nzuri saana nimelitumia miezi minne toka linunuliwe likiwa...
Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 60
vyumba 4 vya kulala(1 master),sittingroom,diningroom,jiko ina fance,umeme na maji.ipo mbagala chamazi opp na shule ya sekondari chamazi.ina hati,leseni ya...