Iko katika hali nzuri
Inatumia laini 2
Ina screen protector ya 3D
Ina crack ndogo na haionekani sana kwenye mfuniko.
Bei 480k.. inapungua kidogo.
More details.. whatsap0715 193 810, mbagala...
Habarini wadau, kuna eneo ambalo ni zuri kwa makazi maeneo ya dege kigamboni. Ni ukubwa wa mita 25 kwa 25. Bei ni milion tatu. Mwenye uhitaji serious anichek 0764503076. Umeme na maji yapo maeneo...
Habari wana jf tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa pamoja na kufanya ground water survey
Mawasiliano 0625 576082
Sent using Jamii Forums mobile app
Warembo karibuni kupata vitu classic pochi kali na viatu unique.mali zetu ni kutoka thailand..no fake zone[emoji16][emoji16] karibuni sana .<br />Ps..Tunafanya delivery dar na mikoa yote...
Warembo karibuni kupata vitu classic pochi kali na viatu unique.mali zetu ni kutoka thailand..no fake zone[emoji16][emoji16] karibuni sana .
Ps..Tunafanya delivery dar na mikoa yote Tz..wholesale...
Habari wandugu Nataka kufungua dry cleaner Mwenye uzoefu wa hizi mambo naomba anipe hata hints kidogo natakiwa mashine ngapi naweza kuzipata wapi na ghalama zipe.. Nataka kufungua maeneo yenye...
Wakuu heshima zenu,
RAV 4 old model,
Sifa
Namba=B/C
Rangi=Blue/Red/Black/Dark blue/ kwa ufupi isiwe nyeupe au silver
Mengine majadiliano, bei isizidi 7m
Nawasilisha
Moja ya bidhaa zetu zilinazo Fanya vizur sokoni in pure black castor oil pamoja na shampoo yake huyu ni mmoja Wa Mteja wetu wa.Znz ambaye alianza kutimia mafuta haya takriban mwezi sasa na hayo...
Wakuu tuna page instagram ya kutangaza vitu used vya majumbani, ofisini na vitu vya watoto vinavyouzwa kwa bei nafuu, usitupe kitu usichohitaji tena, kumbuka cha zamani kwako kipya kwetu. tutafute...
**nina laptop aina ya dell inspiron N1545. laptop ipo katika hali nzuri kabisa yaani haina michubuko na kila kitu kina piga kazi fresh. ina
RAM 2GB
HDD 320GB
SCREEN SIZE INCH 15
BATTERY IKO POA...
Moja ya bidhaa zetu zilinazo Fanya vizur sokoni IGIHA BODY CREAM inalainisha ngozi inatoa chunusi na madoa inang'arisha lakin haichubui, inaondoa chunusi mabaka na kukufanya uwe na rangi moja...