Wakuu salama? Kuna nyumba nauza haijakamilika natafuta mteja. Nyumba na kiwanja vipo DSM kama kuna mteja serius karibu PM kwa taarifa zaidi.
Eneo: mbezi makabe mpakani, kiwanja kina 45x45sqm...
Wana jamii forum Kuna watu wanauza mashamba morogoro eneo linaitwa bwanani karibu na bar inaitwa MV mapenzi.. Ukifika mkundi mwisho unaelekea mashariki. Je maeneo hayo ni salama kwa kununua. Au...
Jinsi Kutengeneza Kipato Endelevu Kwa Ukodishaji Wa Mashamba Kwa Wakulima Hapa Tanzania
Kutengeneza kipato endelevu kwa kuwakodishia mashamba kwa wakulima ni fursa nzuri ya biashara kwa wale...
Kuna mashamba yanakodishwa Sumbawanga vijijini yanafaa kwa kilimo hasa cha mahindi. Mvua ni za uhakika . Matayarisho ndio yanaanza sasahivi mwezi wa kumi. Garama ni laki moja kwa ekari moja...
Wana JF habari za Jumapili , ikiwa una tatizo la mapengo unaweza tabasamu upya kwa kuwekewa meno bandia ya kudumu kwa gharama rafiki
Tazama jinsi mama wa miaka 67 alivyotabasamu kwa mara ya...
Bei zetu kwa upande wa brand ya CENTARA .
1 - 315/80 R 22.5
- Tyre la mbele Price =465,000/= (highway)
- Mixer (Trailer) Price =460,000/=
Diff (kashata kubwa) price
=510,000/=
Diff kashata...
Habari wakuu.
Eneo Kwajili ya Gas linauzwa GOBA
Hapo unaweza kufungua kituo cha Kuuza Gas.
Ewe mwekezaji fumba macho ununue hili Eneo.
Sqm 2000.
Kwa mawasiliano Zaidi
0754693556
Katika kitabu hicho, waandishi wamejikita kujibu swali linaoulizwa mara kwa mara la Israeli inatuhusu nini sisi Wakristo? Kuna ulazima gani wa sisi kujifunza na kuifuatilia Israeli? Na je, Israeli...
PANORAMIC SUNROOF
ELECTRIC SEATS
CC2990
⛽️DIESEL
PUSHTOSTART
KEYLESS ENTRY
LEATHER SEATS WHITE
AUTOMATIC
BLACK COLOR
RIMSPORT
FOG LIGHTS
PRICE: 145,000,000 + REGISTRATION.
Wadau ninataka kununua TAA za kushika mkononi za SOLAR kwa ajili ya dharura pindi umeme unapokatika.
Naomba ushauri ninunue AINA GANI maan nyingi ni Vimeo. Nahitaji itakayowaka muda mrefu ikiwa...
Nyumba yenye ukubwa wa almost sqm 300 inauzwa Kimara Matosa:
LOCATION: KIMARA KWA KOMBA KAMA UNAENDA MATOSA
4 BEDROOMS HOUSE
3 BATHROOMS
1 SITTING ROOM
1 DINNING AREA
KITCHEN
STORE
PARKING...
Habari za wakati huu wakuu,
Napenda kuwataarifu kuwa wafugaji wa samaki aina ya Tilapia pamoja na wafugaji wa nguruwe tuna vyakula hivi dukani kwetu.
Chakula Cha samaki vipo kwenye makundi...
Drywall ndio habari ya dunia kwa sasa hasa katika kuta za ndani. Drywall sio mbao ni madini ya gypsum yaliyofungwa ndani ya karatasi nzito.
Drywall ina faida zifuatazo:
- Ina unafuu wa bei.
-...
Habari wakuu
Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10
Aina ya gari
Nissan dualis
Rumion
Crown
Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
HATIFUNGANI/BOND/AMANA
Ni aina ya dhamana inayotolewa na serikali au kampuni kwa lengo la kukopa fedha. Mkopaji anaweza kuwa serikali au kampuni na anaekopesha ni mwekezaji.
Mwekezaji anaponunua...
Ebhana watu wa JF nawasalimu kwa Heshima ya Jamhuri ya muungano wa Taifa letu
Nina biashara nahitaji kuuza hili kabati langu la vioo, Na nimelipenda sana ila dah kuna madogo wawili wamekuwa...