KUJUA HERUFI YA JINA LAKO LIPO WAPI KATIKA MVUTO WA KINYOTA .Naam ni yule yule kijana mwenye kipaji cha kuwaadhibu majini vile atakavyo mwenye uwezo wa kutoa majini vichwani mwa watu na...
Kwa abiria anayeenda Tanga leo nina usafiri wangu binafsi naenda Tanga leo jioni na kurudi kesho.
Nafasi ni tatu tu.
Kwa mtu anayetaka kusafiri na mm Nauli ni 12000 tu.
Kwa mawasiliano zaidi ni PM.
Habarini wana JF niende moja kwa moja tu,
Jamani nauza heavy duty stapler mpya kabisa nilinunua kwajili ya kufungua office yangu sasa naona mambo yamenikalia ndivyo sivyo nazani mnaelewa...
Je wewe ni mwalimu wa Computer,Masomo ya sekondari au masomo yoyote?
Ipo fursa ya kituo cha kufundisha kwa kulipia kwa mwezi gharama nafuu kabisa.
Kituo kipo Boma Ng'ombe Hai
Kwa mawasiliano...
Jipatie modem hii kwa bei ya 20,000/= ufurahie internet yenye kasi ya 4G kutoka Airtel huku ukifurahia Facebook ya bure. Kwanini uangaike na internet zisizoeleweka?! Nichek sasa kupitia...
Pikipiki aina ya Toyo 150cc inahali nzuri kabisa inamiezi kumi.haijawahi kutumika kama bodaboda inauzwa..mmiliki amehamishwa kikazi hivyo inauzwa.kama upo arusha wasiliana na muhusika kwa...
Wadau wa JF
Kwa wale watakaohitaji T-shirts maalumu za Umoja wa Vijana( UVCCM) mnaombwa kuwasiliana kupitia namba 0769024702 Manka Ngowi
T-shirts za rangi zote ng zinapatikana kama vile rangi...