#beachplots
🌴 Prime Beachfront Plot for Sale – Pemba Island, Zanzibar 🌴
📍 Location: Pemba Island, Zanzibar (Tanzania)
Situated in one of the most naturally beautiful and untouched islands in...
Wateja wangu karibuni tupo Uhuru Plaza kupitia sisi utajipatia simu bei za viwandani yaani bei ya chini mnooo.
Tuna simu mpya na used kwaajili yako kuanzia simu za vitochi mpaka smartphone...
Eneo linaukubwa wa 33,260sqm. Eneo lina hati ya mradi wa shule/taasisi. Kuna majengo ya madarasa ma4 na ofisi 4 na nyumba ya vyumba vitatu
Eneo lipo mtaa wa Pinda, Dodoma mjini.
Bei ni Tsh...
Hello Tech Members..
Hope mpo poa wakuu,kwa mda mrefu nilitamani kuwepo na uzi ambao Web developers tuta share tulichonacho kwa wenzetu ambao wanaanza safari Yao ya Programming au wanaotaka...
Wakuu, natafuta mabingwa wa kupiga rangi body ya gari irudi kwenye upya wake kama ndo imetoka japani Leo.
Wapi nitawapata? Gharama siyo issue ila ubora ndiyo nautazama.
Msaada tafadhali
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho...
Wadau mgomo wa usafiri umenichosha leo nimepoteza dili la mil 10,sasa natafuta mtu mwenye gari anashida anataka kuliuza mm nanunua ila iwe chini ya mil 2.5 nawakilisha kwenu ambaye yupo tayari...
*Kiwanja goba tegeta A
Kiwanja kizuri kikubwa bei kitonga ..
Kiwanja kipo goba tegeta A kwa madawa karibu na kanisa katoliki
Ukubwa ni sqm 1196
Unaweza kujenga nyumba ya ndoto yako hapa...
Kiwanja hakijapimwa ila kipo surveyd, kina ukubwa wa 1500sqm+. Kipo karibu na shamba litakalo jengwa shule ya feza kigamboni. Kinataka 30ML. Zingatia kutoka barabara ya kibada mwasonga ni 450m...
KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru.
Kwenye Giza la kiroho...
TANGAZO LA BIASHARA
Unauza Viatu au Una Dukayaani? TWIGA ni Bidhaa Unayohitaji!
Tunawakaribisha wauzaji wa rejareja wenye maduka ya viatu, au maduka ya jumla kununua kwa bei rafiki bidhaa yetu...
Wakuu,
Kuna chimbo nimelipata pana gape ya vioo vya simu kuanzia viswaswadu hadi Smartphone.
Nimejaribu kusaka maduka yanayouza jumla, naona bei zimechangamka sana. Mfano kioo mafundi simu...
Nauza water heater brand ya Ariston ni kubwa na imara.
Hii ilifingwa bafuni lkn sijawahi tumia kwa kutofikiwa na huduma ya maji ya dawasco nimeona niitoe niuze.
Lete OFA Yako nikusikilize...