Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Unahitaji Logo ya Kipekee kwa Biashara Yako? Karibu kwenye [MAC LOGO DESIGNING ] - Mahali ambapo ubunifu unakutana na mtindo! Tunatoa huduma za kubuni logo ambazo zitafanya biashara yako ionekane...
1 Reactions
12 Replies
520 Views
Mfumo huu ni suluhisho kwa biashara yako ya uwakala. Simamia na fuatilia mwenendo wa biashara yako ya uwakala ukiwa mahali popote, muda wowote. Wakala Agency Banking System...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Habari wadau . Nimefanikiwa kukopa pesa bank hivyo nahitaji kiwanja kilichokuwq mjini maeneo ya mwanayamala, kinondoni na makumbusho. Ikishindikana kabisa nipate hata maeneo ya kawe
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama heading inavyo dadavua. Nicheki Inbox. Niko Dar. Ilala. Specs: Black or Grey 12/16GB Ram, 256GB Storage Non active. Warranty isikosekane Pia.
3 Reactions
8 Replies
481 Views
Habari zenu. Natafuta TV flat screen ya inchi 24/25/26. 1. Isiwe na tatizo lolote 2. Kioo kiwe kisafi, kisiwe na mikwaruzo wala michubuko. 3. Iwe haimjui fundi. Kama unayo, njoo PM. Location...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
LAB unga wa lishe tunatengeneza unga unaozingatia viini lishe muhimu na mtamu. Lishe haitakiwi kuwa na mchanganyiko wa nafaka nyingi mfano mchele, ngano ulezi maana zote ni wanga zinaweza...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya...
2 Reactions
2 Replies
182 Views
Eneo hili liko Pangani - Kibaha Mji, jirani na ofisi za Mitamba, umbali wa kilomita 2.5 kutoka kituo cha mabasi cha Kibaha na Kibaha Shopping Mall, au kilomita 1 kutoka mnada maarufu wa mbuzi wa...
3 Reactions
16 Replies
796 Views
Godown linapangishwa 1.2m. Sq 400 1.5m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
2 Reactions
3 Replies
284 Views
Plot Available For Sale. Location: Kigamboni Dege 2, Amani Gomvu area. Descriptions: *Plots located 23km from Kigamboni ferry. *There are 10 plots in the area. *Each plot has title deed. *You can...
2 Reactions
3 Replies
321 Views
Kiwanja kinauzwa Forest mpya sq 2100 tshs 80m, mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050, nyote mnakaribishwa!!
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Karibuni kwa huduma bora na kwa wakati, Viwanja, Nyumba na Magari, vinapatikana kwa bei rahisi zaidi! Kwa mawasiliano zaidi: 0769767600.
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Viwanja vinauzwa Iwambi, vipo viwanja 15 @ sq 25000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi +255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
2 Reactions
8 Replies
537 Views
Viwanja vinauzwa Mbeya mjini. Kila @25,000 mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
1 Reactions
3 Replies
526 Views
Viwanja Vinauzwa. Vipo Kibaha maili moja karibu na nyumbani kwa Mkuu wa Mkoa. Viwanja viko viwili ndani ya eneo moja, moja ina nyumba ya vyumba vitatu. Ukubwa wa Eneo: Sqm 1294 na cha pili Sqm...
0 Reactions
5 Replies
482 Views
Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara. Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…