Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mali mpya zimeingia zote ni original products . Warrant mwaka 1. Apple Ipad: Original Apple Ipad5 16GB WiFi+Cellular (Black/White) Price:420USD Original Apple Ipad5 32GB WiFi+Cellular...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina shida na kitanda cha mbao futi 5 kwa 6 nipo unguja zanzibar au kama kuna mtu ana mjua mwenye navyo karibuni sana
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Simu imetumika kizungu haina michubuko yoyote ile ipo kwenye hali nzuri. Kwa wanaohitaj wanitafute through 0686-156550 for more info na pia kama utahitaji nkutumie picha
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
HABARI wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninatafuta eneo dogo tu la kukodi kwa ajiri ya kufungua goli la POPCORN eneo liwe kwenye population nzuri ya watu kodi iwe ya baridi isiwe ya...
1 Reactions
2 Replies
697 Views
Used Hp Elitebook 8440P(Silver in color), processor intel core i5 2.4Ghz,Ram 4Gb,Hard drive 500Gb,webcam,screen size 14",Dvd Rw,Sd card reader,3 hours Price Tsh 420000 Used Toshiba Satellite...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Kama unatokea Imalampaka au unakifaham vizuri kijiji cha Imalampaka / Imalampaka primary school. Bonyeza like alafu fuata maelekezo.
0 Reactions
3 Replies
831 Views
Wakuu habari! Naishi msasani natafuta massage nzuri Hapa dsm! Kwa mwenye kujua naomba msaada wa location na bei pia! Shukrani
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Inahitajika suzuki swift bajeti yake 4m -Iwe silver, pink au gray Simu 0716411720
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Njoo Nikutengenezee Apps za Hizo Platform Kwa Pesa Yako Utengenezaji wa Apps zinazofanyakazi kwa platform mbili tofauti na ikiwa native muonekano sawa na functionality sawa na code base moja...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
APARTMENT FOR RENT Nyumba inapatikana bahari beach opposite na feza boys secondary school (Dar es Salaam MBEZI BEACH) Nyumba ina vifutavyo vyumba viwili (master moja na chumba kimoja cha ziada)...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Click hapa https://jamiiforums.com/KNhNwnJlXP na download app,ujiunge ujipatie zaidi ya 10GB kwa siku buree,HAKUNA KUNUNUA VOCHA TENA.kwa mtandao yote fastaaaa click hapo kabla offer...
1 Reactions
0 Replies
968 Views
Natafuta mtu wa kubadilishana naye, yeye aje Kilimanjaro wilaya ya Rombo, mimi niende Morogoro wilaya ya mvomero. Tuwasiliane kwa namba 0712507115 au 0625828167 Jina langu ni GEOFREY MALWA. Ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Kama kuna mtu anajihusisha na udalali wa mbao keko au tandika anicheki kwa namba 0625808748 call/whatsappp kuna biashara tuongee
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wakuu, natafuta rim paper za A4, nahitaji box kama 50-100 inategemea ntakua nachukua mara kwa mara kama kuna mtu anaziuza kwa jumla anichek offer 30,000 kwa kila box na ntachukua nyingi...
0 Reactions
5 Replies
854 Views
Habari wakuu kwa yeyote aliepangiwa K'S ROYAL MBEYA MJINI hii ndo budget unayotakiwa uipange >school fee Tsh.2,330,000/= >hostel -self container room Tsh.350,000/= per year -non self...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wana JF Ninaishi Jet Dar, nahitaji Bata Bukini, kanga weupe na kuku Kuchi au mbegu yeyote ya kuku wa kienyeji ya umbo kubwa. Mwenye nao aniambie anapatikana wapi Dar na bei gani nije...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta shule, Chuo au mwalimu wa muziki Dodoma. Mafunzo yawe siku za weekend tu kutokana na ratiba ya masomo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za mchana wana jf Mimi nimekuja hapa kuomba kama itawapendeza kunipa kazi Mwenye kuitaji ufundi Wa Gari nipo Kwa ajili ya kutoa suluhisho,Natengeneza Tenk za sheli ,pia za kwenye magari...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…