Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za leo wadau, Naomba kujua kampuni au mtu amabe anaweza kusafirisha mizigo/vitu vya ndani (kabati, friji, kitanda, sofa na vingine vidogo vidogo) hadi Dodoma kutokea Dar. Kama yupo naomba...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Ni kichwa habari cha Riyawa fulani hivi kilikuwa kinasema Kama kuna member anacho kitabu hicho naomba tuwasiliane au kama mtu anajua kipopatikana anielekeze kilipo ahasanteni sana
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina uhitaji wa bati 50 za mkopo kwa makubaliano ya malipo kwa awamu tatu, kwa maana ya kila mwisho wa mwezi kwa miezi mitatu, kama hutojali nicheki 068504720.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa anayehitaji mbolea ya kuku ipo inapatikana kwa bei nafuu kabisa Mahali: Namanga, barabara ya bagamoyo mbele ya kibo complex Mawasiliano: 0625516615. Karibuni sana.
1 Reactions
0 Replies
735 Views
NAHITAJI KUNUNUA NTA MKOA WA TABORA, MWENYE UWEZO WAKUNIUZIA KUANZIA KG 20 NA KUENDELEA, AWASILIANE NAMI MWENYE BEI NZURI ATAKUA NA UHAKIKA WA SOKO LA KUDUMU.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Are you interested in investing or working in ICT and related business? Are you graduate in ICT with Diploma,Degree in ICT related Disciplines? Are you resident of Dar es Salaam in nearby region...
0 Reactions
3 Replies
704 Views
Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya walipo Kabwe, Mwanjelwa na Soweto na maeneo jirani ambapo sasa wanaweza kuweka oda ya chakula na Fresh juice Online kwa kutumia Application ya Chakula...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Wajasiliamali wenzangu naombeni mnifahamishe nahitaji cooling milk tank naamini mpo mnaojuwa hivyo nawaombeni mnielekezeke asanteni
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Sabufu iwe harali! isiwe mbovu [emoji337] 0766857120
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye tairi za dili saizi 16/215 /70 Kwa ajili ya rav 4 tuwasiliane. WhatsApp pekee 0688195219
0 Reactions
1 Replies
753 Views
The Phone is brand new, never been used. In the box. Comes with an original Infinix charger, earphone simcard tray pin retractor and back cover. The phone goes for 550,000 in the shop but willing...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Qbscl co ltd inatafuta sehemu yenye mazingira mazuri....ghorofani ya kufanya partion kwa ajili ya kuweka ofisi na madarasa ya chuo. Maeneo mazuri hapa dar es saalam.....Tupigie +255 222180769...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni vizuri kujua, siku neema zikinitembelea nachukua ufukwe mmoja huko. Je kuna madalali kama hawa wa huku bara. Je na kwenyewe wanachaji pesa ya mguu. Vipi siwezi pata usumbufu wa kiimani...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kama utahitaji huduma hii tuasiliane napatikana vikindu mkuranga nnje kidogo na dar 0655 595954 0687 056309
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Napatikana vikindu mkuranga nnje kidogo na dar 0655 595954 0687 056309
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu wana jukwaa? Nipo kigoma natafuta mpishi wa vitafunwa kama Chapati, maandazi, halfcake, donat, donas, kaukau, piza, sambusa, kastam, kachori,eggchop, kababu na maandazi. Nitafute...
0 Reactions
4 Replies
860 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahtj kiwanja maeneo ya salasala kinzudi usukumani..bei kama ilvyotajwa hapo juu..nipo serius ml 2.na vinaptkana bila chenga rafk yangu alinunua juz...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu! Kuna nyumba inauzwa maeneo ya ukonga-banana ina vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula, store na sehemu ya parking ya gari,na bado kuna eneo kubwa la kujenga nyumba nyingine na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nahitaji mtuu atakaye weza ku ni tengenezea vitu Nitengenezee privacy and policy kwa ajili ya blog About us kwa ajiri ya blog Disclaimer kwa ajili ya blog Blog yango inahusu lifestyle Km...
0 Reactions
1 Replies
819 Views
Wakuu, hiyo friji hapo inauzwa na bei yake ni 200,000 mazungumzo yapo. Bado iko vizuri na inachapa kazi haswa. inapatikana Dodoma Ingia pm kwa mwenye uhitaji. Nb: Picha zinaleta shida kdg ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…