Nategemea kusafiri kwenda Morogoro kesho kwa shughuli ya kifamilia. Nitapenda kujua wapi naweza kupata mbuzi mzima Meeee?? Kama unao unauza njoo PM tufanye biashara
Habari wana JF bila shaka mpo salama.
Nlipata bahati yakutembelea Lindi kwa mwaka huu vizuri nikakutana na fursa ya kuuza chips lakini kwa upande wa masoko ilikuwa ishu ila baada yakufanya utafiti...
Tarehe 27 Oct 2018 mliopo #iringa #mafinga #tanzania
JUKWAANI ATAKUWEPO, MSANII RECHO (RACHEL) - KIZUNGUZUNGU, AKIWA AMESINDIKIZWA NA WENZIE..
WOTE MNAKARIBISHWA.
Tarehe 27 Oct 2018 mliopo...
Habari,
Kwa heshima kubwa Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kukuwakaribisha ewe wafanyabiashara wa nafaka kujiunga na Safari ya kibiashara kuelekea nchini, Rwanda...
Wakuu,
Juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha Tv, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana Kariakoo nimewekewa kioo kipya kwa Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa...
Wakuu heri ya kuiona siku hii ya leo. Sifa na Utukufu ni kwa Mungu aliye Mkuu zaidi ya uwezo wetu wa kuona, kusikia, kuhisi, kunusa na kuonja.!
Kama tujuavyo kuwa, Udalali ni shughuli kama...
Kama ni mfanyabiashara unauza au unategemea kuanza kuuza bidhaa zako mtandaoni kuliteka soko mtandaoni.
Ukiachana na kutangaza bidhaa zako kwenye mitandao ya kijamii pia kuna mitandao mingi...
Hello Waungwana ,Kuna rafiki yangu anahitaji gari aina iliyotajwa hapo juu .kama unafahamu mtu mwenye nayo please tuwasiliane .Asante sana Waungwana na muwe na Jumapili njema ,
Nauza huawei L21 ina ram 2GB camera 13mpx storage 16GB ...tatizo lake ile ribbon ya glass inayo ziba camera imecrack kama inavyo onekana kwenye picha lakini camera inafanya kazi kama...
Kama unanyumba au ni dalali, tuwasiliane Pm tumalize business mapemaaaa leo,Pesa ipo mfuko wa SHATI.
Location: Isyesye, pipeline, sae, soweto, forest (new/old), uzunguni, jakaranda. Kwingine...
Ndugu wanaJF,
Nahitaji ya idadi hiyo na vipimo kama ilivyo kwenye kichwa cha habari.
Bajeti yangu ni 3500/= kwa mkeka,hivyo kwa mikeka 100 ni 350000/=.
Napatikana Dar es Salaam.
Kwa...
Nauza huawei L21 ina ram 2GB camera 13mpx storage 16GB ...tatizo lake ile ribbon ya glass inayo ziba camera imecrack kama inavyo onekana kwenye picha lakini camera inafanya kazi kama...