Nyumba nzima mbeya inahitajika faster

Nyumba nzima mbeya inahitajika faster

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,387
Kama unanyumba au ni dalali, tuwasiliane Pm tumalize business mapemaaaa leo,Pesa ipo mfuko wa SHATI.
Location: Isyesye, pipeline, sae, soweto, forest (new/old), uzunguni, jakaranda. Kwingine NO[emoji113]
 
Nenda magorofani parking hapo kuna madalali mzee,au sai kituo cha kwenda Uyole kuna madalali pia
 
Ukinitupia contact zao utakuwa umetisha sana mzee baba
Nenda magorofani parking hapo kuna madalali mzee,au sai kituo cha kwenda Uyole kuna madalali pia
 
Mbona unataka maeneo ya kishua... una ela ww
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom