Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ipo Kibaha picha ya ndege Master bedroom 1 Vyumba vya kulala vi4 Jiko na store Public toilet Parking Kiwanja ni 515square metres Mashimo mawili ya choo Kina HATI Bei ni 23mil maongezi yapo Kwa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280...
0 Reactions
103 Replies
10K Views
TANGAZO LA KUUZA NYUMBA NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI) NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona...
3 Reactions
490 Replies
66K Views
Vipo chamazi Bei yake ya kawaida sana Hii ipo Na vyumba vitatu Sebule Vyumba viwili master Choo cha public Dining Jiko Full fance Iko MITA 300 kutoka barabara kuu Ina maji tayari Inataka 78 mil
2 Reactions
1 Replies
720 Views
Nyumba ipo kwenye mauzo kwa yeyote mwenye uhitaji tsh.50m, vyumba 3 kimoja master, dining, kitchen, sitting room na public toilet kiwanja chake robo tatu heka. Inapatikana Manispaa ya Songea...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
NYUMBA INAUZWA.. VYUMBA VITATU NA SEBULE NA CHOO NDANI CHOO CHA NJE PIA KIPO VYUMBA VITATU UKUBWA WA 10 KWA 12 KIMOJA 10 KWA 16 NYUMBA INA UKUBWA WA 29 KWA 20 NA KIWANJA NI 55 KWA 45 MIUNDO MBINU...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
CH=full]2410278[/ATTACH]
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari, Kama uzi unavyojieleza. Nitakua nikipost hapa nyumba, Viwanja vikubwa na Apartment zinazouzwa. Location na bei. Zaidi ni nyumba za Dar es Salaam
5 Reactions
61 Replies
8K Views
Ipo goba mpakani, vyumba vitatu kimoja master. Ukubwa wa eneo square meter 500 Milioni 65 0762689034
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba ipo Chanika mwisho wilaya ya ilala DSM Ina chumba kimoja chenye ukubwa wa futi14 kwa14 na fremu ya biashara moja pia yenye ukubwa wa futi14 kwa 14. Imekamilika kila kitu pamoja na tiles...
1 Reactions
4 Replies
930 Views
Habari Wana jf husika na kichwa cha habari juu, nauza nyumba chanika, njiapanda ya nyeburu upande wa mkono wa kulia ukitokea ngongolamboto, ipo jirani na shule ya DOCTOR ELIMU, ina vyumba viwili...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nyumba zinauzwa, kibaha kwa Mathias,za kibiashara kwa ajili ya wapangaji na moja inayojitegemea,ziko tatu katika sehemu moja ,ya kwanza vyumba vitatu na sebule zake inajitegemea,ya pili vyumba...
1 Reactions
2 Replies
992 Views
It has 2 bedrooms, sitting room, Kitchen and inside public toilets 📋 Plot has 400 square meters size with Sales Agreement Document ☎️0747744895
1 Reactions
2 Replies
720 Views
Ukubwa wa kiwanja - 20 kwa 20 Ramani yake - Vyumba vitatu ( 1master) Sebule Dinning Jiko Stoo Bei - 15MILION🔥🔥🔥 Mahali - MBEZI-MAKABE Mawasiliano - 0688986066/0747840807
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ipo Kibaha kwa Mfipa, ni kama 5 toka barabara kubwa inauzwa ml 90. Huduma ya maji na umeme vipo karibu, ina kisima cha maji pia, nyumba kubwa ya vyumba 3 na master. Pia kuna nyumba ndogo yenye...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba imekamilika BOMA lenye vyumba vitatu kimoja masta, mashimo ya choo tayari nishafunika , fensi tayari imekamilika. Naiuza mimi mwenyewe mmiliki hakuna dalali , ina square mita 400 , ipo...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Hiyo nyumba inauzwa ipo kimara suka ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master na jiko store public toilet na sitting room na dinning Room eneo lina ukubwa wa 25x27 Bei milioni 50
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom