House4Sale Nyumba isiyoisha inauzwa Milion 13, Kigamboni.

NANGAI MSUMI

Senior Member
Apr 12, 2015
146
94
Nyumba ipo kigamboni vijibwen karibu na ukingo wa Bahari, Ina vyumba 3 vya kulala kimoja master, jiko, store, dining room, sebule kubwa, shimo la choo tayar lishajengwa, maongez yapo. 0652180400
IMG_20220617_162032_2.jpg
 
Ukubwa wa kiwanja ni kiasi gani mkuu.

Vijibweni ni kilomita ngapi kutoka Ferry?
 
eneo limepimwa?
ukubwa wa eneo?
kuna fikika vyema toka barabara kuu?
km ngapi toka barabara kuu?
eneo lina hati?
 
Ukubwa wa kiwanja ni kiasi gani mkuu.

Vijibweni ni kilomita ngapi kutoka Ferry?
Ukubwa wa Kiwanja ni Square mita 400. Yaan 20×20

Ukitokea ferry ni Kama kilometer 3, na Kama utatokea daraja la Nyerere ni kilometer 2.
 
eneo limepimwa?
ukubwa wa eneo?
kuna fikika vyema toka barabara kuu?
km ngapi toka barabara kuu?
eneo lina hati?
Eneo ni squator, Lina docoment za serikali ya mtaa tu, Ukubwa ni 20×20 ni kama square mita 400.

Kufika barabara kuu Kama kilometer 2
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom