Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habar ya kazi wakuu,natafuta zile machine za kuprint t-shirts na cups nipo dar maana kuna siku nilizunguka sana k/koo nikakosa,msaada wapi nitazipata:rolleyes:
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyumba iko temeke na imatizamana na uwanja wa Taifa Pako vizuri kibiashara na kwa sasa kuna bar na nyumba za kupangisha Bei 650m Bei hii ina maongezi Maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunauza vifungashio vya bidhaa kama vya Sabuni,Rotion,Jam,Pinut butter,Shampoo,Unga nk.printing pia ipo.Darasa linaendeshwa online through Whatsup group no.+255 713262188 kwa Ada ya 10,000/= na...
4 Reactions
47 Replies
32K Views
Nimenunua godoro si zaidi ya miezi minne iliyopita la banco , lile la size ya mwisho. Niliamini Super banco ni zuri na wametoa guarantee ya mwaka. Lakini, sasa hivi ni chanzo cha kuamka shingo au...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
mwenye iphone 5 kama upo morogoro nitafute No 0712650183 Naitaji
0 Reactions
6 Replies
855 Views
MSIMU HUU SIKUKUUU DRAGON MABATI INAPENDA KWANZA KABISA KUWATAKIA WATANZANIA WOTE NA WATEJA WAO WOTE MAANDALIZI MEMA YA SIKUKUU YA CHRISSMASS & MWAKA MPYA 2019 NA PIA KUWAKARIBISHA WATEJA WETU...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Husika na kichwa tajwa hapo juu blog ambayo inajumuisha na account yake ya adsence ambayo imeunganishwa inauzwa Tsh 150,000. Tu inafanya kazi vizuri. Kama unahitaji upointerested na hili...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Nauza kiwanja kilichopo toangoma kwa yatima(Funcity), kutoka barabara ya lami ni KM 1. -Ukubwa wa kiwanja ni 15*20 -Bei Milioni 4. Hakijapimwa ila kina hati ya makabidhiano -Viko viwanja viwili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wajenzi wa nyumba za gharama nafuu & wauzaji na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi kama ;mbao, marine board, plywood, gypsum board, nondo, mabati, mirunda nk
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I phone 5s for sale location Dar free delivery [emoji598] Price 310k Call 0653353233/0621011713
0 Reactions
0 Replies
715 Views
natafuta bodaboda ya mkataba au kwa siku nipo morogoro mjini 0712650183 Tufanye kazi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakaribishwa kujiunga na program zetu za mafunzo mbali mbali kama ifuatavyo:- a) Elimu-Kombozi b) Kozi za Computer c) Tuition kwa masomo mbalimbali d) Kujifunza Kiingereza ndani ya muda mfupi e)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza Laptop Samsung Core i3 RAM 2GB HDD 250GB Battery masaa 4 Tatizo ni mstari kwenye kioo hapo Mashine ngumu, Imara na iko fasta sana Bei ni 250,000 tu haipungui Contact 0712222575
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Nahitaji gari ndogo ya sh 2m. Tafadhal msaada wenu
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Kwa wale wanaopenda kujiongezea kipato kwa kutumia smartphone na b zako jiunge na jamalife helpers global Ltd.kwa shlingi 16000 ujionee ni jinsi gani inaweza kukuzalishia mkwanja mrefu kwa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
nahitaji kununua pooltable iwe katika miji ya Arusha Kilimanjaro Tanga Pwani na Dar essalaam iwe ya kenice au Sido iliyonyooka ubao uwe wa dongo na usiwe umeungwa budget 700000 kama ni nzur...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS... Tupo Kimara mwisho... Njoo au popote ulipo Tz, Fanya Tukuagizie KIGARI HIKI TOYOTA DUET : 2003/KM 69,000/GRADE 4/ AC/PW/990CC/RHD PETROL/AT/2WD/5door/5seats/PS, AC...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Brand New Full Boxed UHD 4K Support HDMi USB AUX Av Price 390000 TSH Warrant 1year Call 0719389990
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Mambo vp wanaJF Baada ya kusaka kazi kwa Muda mrefu kwasasa nmepata kazi katka jiji la arusha na natakiwa kuanza January 2...hv sasa natafuta nyumba ya kupanga na kodi ianzie 150000 hadi 200000...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Reverse cameras hd Nipo dar Bei 35,000 each
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…