Wana JF,
Nawataarifu kuwa nauza simu aina ya iphone 8 ina week 4 since nimenunuwa. Haina tatizo lolote lile nipo tayari kukuletea popote ulipo ukaikagua ili kujiridhisha then ukainunuwa...
ORIGINAL EARPHONE SUPER BASS.........FREE DELIVERY AT MOSHI
Katika maisha hakuna kitu kizuri kama kuuziwa kitu imara na original
.
Tumezoea kununua earphone kila mara kwasababu hatupati earphone...
Camera Sony Nex 5
Lens 18 - 55 mm
Inapo bado na box lake, user manual, charger na Flash
Camera bado inahali nzuri... Imetumika siku chache tu.
Nicheki inbox kwa maelezo zaidi na mawasiliano
Nahitaji Freme kwa ajili Ya Bishara katika maeneo ya Tegeta au Tabata
Nahitaji kwaajili ya Biashara ya Unga wa mahindi mchele na Mafuta ya Kupikia . Kwa mwenye Taarifa zaid anichek kwa 0656369676...
NJIA YA MARANGU -KUKWEA PAA LA AFRIKA
Marangu (Njia ya Coca Cola): Hii ni njia jadi na ya moja kwa moja miongoni mwa njia nyingi zinazoelekea mlimani. Ni njia yenye shughuli nyingi, na...
Je wewe ni BLOGGER ama mdau wa elimu na una nia ya kuanzisha BLOG ama WEBSITE ya MASOMO YA SEKONDARI??
Jipatie full PACKAGE (content ) ya notes kuanzia KIDATO CHA KWANZA mpaka CHA SITA kwa ajili...
I am a Science teacher in connection with Reads international and Study. Com,
I'm teaching all PCB O-Level topics, Mostly
PHYSICS.,,,, .
METHODS OF STUDY
1.manually(analogue)...
Inatafutwa isuzu carry kwa bei ya madafu kuanzia namba C iwe bei ya ado ado ndio maana tuka pendekeza Zanzibar vile wana bei nzuri, Nipo Moshi Knjaroo. PM kama unayo.
Ndugu wana JF
Habari za majukumu, Samahani, nahitaji Asali toka kwa wafugaji, asali hiyo ikidhi haya yafuatayo:-
1. Isiwe imechemshwa.
2.Iwe na uwezo wa kupita test zitakazofanywa na TFDA na TBS...
Habari hapa jamvini.
Kama title ilivyo.
ninahitaji vifungashio material ya plastic au nylon
Size kwa sasa ninahitaji kilo moja mpaka kilomoja na nusu ,kadri nitakavyokua naendelea ndipo...
NAFASI ZA KUJIUNGA NA CHUO
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health
(TTCIH) anawatangazia nafasi za kujiunga na chuo mwaka wa masomo 2018/2019.
TTCIH...