Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Homify

Member
Joined
Dec 21, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Maelezo kwenye picha hapo chini

Bei 2,000,000/=

Matumizi ya ofisi, Multi-family home use etc

dodoma Kisasa sheli

Hurry! Hurry!
IMG_20181220_204209.jpg
IMG_20181221_115830.jpg
IMG_20181220_194308_286.jpg
IMG_20181220_192242.jpg
 
Hiyo nyumba imepauliwa kwa mabati na iko sehemu yenye vumbi ata shilingi laki 300,000/- sitoi, haina viwango na hapo kisasa sijui kijana siyo prime area ni uswahilini tu. Unapotezea watu muda kusoma uzi wa kipuuzi
 
Ahsante kaka kwa povu lako.
 
Mkuu, ni bora tu uigeuze guest. Vyumba vitano kwa elfu 30 una laki na nusu kwa siku. Kwa mwezi una 4.5. Hata ukipata nusu yake, unarudi huko huko kwenye 2M.
 
Wewe umejifungia huko Dodoma ndiyo unaona hiyo ni nyumba, acha uzuzu, hiyo nyumba haina quality, haina space, imepauliwa kwa mabati ukiyakojolea yanapata kutu, kila mahali kuna vumbi, hizo milioni mbili utazisikia kwenye radio
kaka sio vita kaka hahhahah khaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom