Habari, nahitaji mpiga picha mzuri aje ofisini kwetu kuwapiga picha staff wakiwa kwenye uniform .Hizo picha zinahitajika na ofisi zitumike kwenye marketing.
Idadi ya picha ni nne tu
Tupo...
Elite Home Tuition Services – Dar es Salaam
Elimu bora nyumbani kwako
Unatafuta maendeleo ya kweli kwa mtoto wako bila usumbufu wa msongamano wa madarasa? Elite Home Tuition tunakuletea walimu...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Zimebaki khanga 5.
Bei: sh 18,000/= Kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya...
Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam.
Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule.
Sifa za Nyumba:
*Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji.
*Iko mita chache kutoka barabara ya Goba...
DELTA RESIDENCY
Luxurious lifestyles in exclusive apartments.
Enjoy elevated living at Delta Residency located at Upanga, a 12 story masterpiece featuring well designed 3 and 4 bedrooms...
Dalili ya mvua ni mawingu,historia yeyote duniani huwa inamtindo wa kujirudia, pia hakuna kitu kisicho na signs zake , hakika anguko kubwa lipo njiani ,kitu ambacho kilikuwa hakina budi...
HABARI NJEMA KUTOKA VODACOM.
VIFAA VYA INTERNET (ROUTER BURE)
Ofisi za kijiji, kata, kitongoji, ofisi za wilayani
Masijala office, procurement office,HR OFFICE
Ofisi za afisa kilimo, lishe...
Plot Available For Sale.
Location: Chamazi, Mbagala area.
Descriptions:
*14km from main road (Kilwa rd) or Dar es Salaam port.
*The area is fully fenced, with water and electricity within the...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road.
Descriptions:
*12km from main road (Kibada rd), 2km inside from Mwasonga road.
*It's near to box factory and Dar es Salaam...
Wadau habarini.
Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa.
Nililipenda jina hilo la OTTO kwa...
SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL
Mwaka 2014
Engine 1990cc
Rangi Blue Metallic
Mileage 92,000km
Bei 36m
📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Eyesight Tech
☎+255626682228
~ Funga mfumo wa gesi asilia kwenye gari lako
~ Mfumo wako wa petrol au diesel uliopo hauondolewi unabaki
~ Kwa Mtungi wa kilo 15 gesi asilia unaogharimu shilingi 22,500 unatembea kilomita 200...
Wadau Karibu mnisapoti kijana wenu .
Karibuni mtangaze kwa gharama mdogo kabisa kupitia Tz Gospel Tv ipo Azam other channel 27 tunapatikana African nchi 21 satellite eutelsat 7b
Kupitia...
Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara...
Epson hata nimeitumia kidogo sana kwa matumizi ya ndani ina wino ndani haujatumika hata asilimia 90 na bado chupa nyeusi nyingine imejaa.
Bei 350000 tunazungumza.
Jamani naomba anaefahamu wapi wanatengeneza vifungashio kama hivi anielekeze,namaanisha kiwandani kwa anaefahamu please!
Maana kununua kwa rejareja kariakoo inaumiza kwa kweli,naomba kuwasilisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.