Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Naitaji mtu wa kushirikiana nae katika kazi za plumbing(installation of pipes sink and so) Vifaa vyote vinavyohusika katika kazi ninavyo tutashirikiana kama team katika kutafuta chanel za kazi na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
A very powerful desktop computer a few years ago, and now it need a new home. It's still in excellent working condition and is great for graphics-intensive tasks like video editing and 1080p...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ya rosegold na imetumika mwezi mmoja tuu,ipo katika perfect condition, price 700,000
1 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa mahitaji ya kupata huduma za kuchorwa , kutengenezewa mabango, kutengenezewa logo na kwa mahitaji ya huduma yeyote inayohusu painting unaweza nitafuta kwa namba +255 (0) 757964766 / 716515203...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Jezi mpya original za timu zote zinapatikana kwa bei nafuu, unapata tshirt na bukta yake kwa gharama iyo iyo, Jezi ya Simba, Yanga, Manchester United, Liverpool, Juventus, Chelsea, Arsenal ...
0 Reactions
57 Replies
9K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosema, ninahitaji Mp3 player, nipo arusha. kama unafahamu sehemu/duka lolote ninaloweza kupata nakaribisha mchango wako. Vigezo Brand: Sony Walkman...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nimehitimu masomo yangu ya chuo kikuu mwaka jana (Bachelor of education with science) , Sasa nimeamua kujiajiri, Nimekuja na wazo la kuanzisha tuion center kwa hapa Arusha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
XIAOMI REDMI NOTE 2 Dual sim Network 4g Storage 16gb Ram 2gb Camera 13mp led flash Selfie 5 Battery 3030 Display 5'5 Simu iko vizuri sana Bei 200000/- Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Je ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Mkutano wa mwezi wa wanachama wa kampuni ya Namaingo business agency ltd Makao makuu ya kampuni yako ukonga ambapo pamoja na mambo mengine wakijadili maendeleo ya uwekezaji wao wa miradi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa MM, Nauza Monitors za Dell 17" zipo nne. -Kila Monitor ina VGA na Power Cables. -Kila Monitor Nauza Tsh 40,000/= Ukichukua Zote Nne Utanipa 150,000/= Napatikana Njia panda ya...
2 Reactions
19 Replies
5K Views
Ndugu mimi ni dereva naitaji gari kwajili ya uber na hesabu yangu ni 180,000. Tuwasiliane kupitia 0718221009 0744952984 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
874 Views
Chumba Choo Sebule na Jiko. Ina Luku yake, Maji ya dawasco Masaa 24, ndani ya fensi na Parking IPO. Nyumba ipo Mbezi Beach, Bei ni Tshs 280,000/Mwezi. 0686648630 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TUNAUZA KIWANJA GOBA KULANGWA Kipo Umbali Kilomita 1.5 Kutokea Barabara ya Lami ya Goba/Madale Jirani na Shule ya Msingi " Future Kings " Kina Sqm 500 ( Mita 25 Kwa Mita 20 ) Kiwanja Kimepimwa (...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nataufa tiles za kutoka Spain kwa bei nafuu. Ni maduka gani nawezaa kupata kwa Dar es salaam? Ninaposema bei nafuu sisemi tiles za hovyo bali najua wafanyabiashara wanatofautia bei. Wapi wanauza...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau ninatafuta chumba cha kupanga hapa MBEYA mjini. kiwe na umeme, maji na kiwe jirani na usafiri wa daladala na au bodaboda. Kwa yeyote mwenye taarifa husika, tuwasiliane namba 0762959725
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wadau, Kama heading ilivyojieleza, nahitaji tractor la kukodi kulimia hapa Dar. Kama kuna mtu anayefanya biashara hiyo please naomba mawasiliano yako, au kama kuna mtu mnamjua anafanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na bei yake kama inawezekana.. Bila kusahau hizo urembo wa shingoni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tiles(better tiles,better life) Tiles(better tiles,better life)
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…