Hakuna wachangiaji mkuu nadhani vyuma vimekaza.Je ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.
Nenda kariakoo ndio mpango mzima. Kuna maduka kibao unachagua unazotaka mpaka mwenyewe utafurahiJe ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.
Nenda kariakoo mtaa wa narung'ombe utapata hizo tiles.. Na kama una hitaji fundi mzuri nicheki kwa namba hizi 0754660061Je ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.
Mkuu tulitegemea wauzaji wa tiles wachangamkie huu uzi ili members wengine waone hizo tiles hususan kwa walio nnje ya Dar.Nenda Spanish tiles pale Victoria
Unauliza maduka ya tiles yanapatikana wapi? Au tiles bora n kampun gan? Huelewek tena unatokea dar.huko dar tiles zimesambaa kila mtaa ndg yangu.Je ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.
Mtaa gami KKOO?Nenda kariakoo ndio mpango mzima. Kuna maduka kibao unachagua unazotaka mpaka mwenyewe utafurahi
Iko wapi hiyo?Kwa bei nafuu nenda goodone pale monalisa keko
mtaa wa swahili na mchikichi au keko opposite na gbp filling station.Iko wapi hiyo?
Je ni wapi ninaweza kupata tiles bora za sakafuni na ukutani za bafuni, na za sakafu kwa vyumba vingine? Nipo Dar.