Nauza Simu yangu mimi mwenyewe Tecno camon C9. Simu haina Tatizo lolote na haijawah Fika Kwa fundi.
Specifications za simu
Front camera (selfie) 13mp
Camera ya nyuma 13mp
Ram 2GB
internal...
Mashine za popcorn/Bisi zinauzwa zipo Dar es salaam mikoani tunatuma
zimetumika na zinafanya kazi vizuri
bei ni Tshs. 180,000/=
mawasiliano
0672464970/0655748974
Salutue Bosses! Ninauza Harddisk ambayo ina 160GB na RAM-1GB. Zote ni za desktop, used kidogo na ni nzima. Bei ya Hard disk ni 30,000/= na RAM ni 20,000/= respectively. Mwenye kuhitaji ani pm...
Jifunze kuongea lugha ya kichina in two weeks,ni kitabu na CD kwa bei ya 10,000tzs tu.utajifunza kuongea ndani ya mda mfupi na mwalimu atakaekuelekeza kutumia CD.Call us on 0757464131,0759003146...
Tatizo hili la kuwa na maumbile madogo limekuwa likiwakosesha raha na kuwanyima usingizi wengi, kwani huhofia hata kujiingiza kwenye mahusiano kwa kuogopa fedheha, hali inayopelekea wengi...
Nauza laptop imara aina ya dell
Ram 4gb
Hard disc 500 GB
Processor core i5
Betri inakaa masaa manne na chaji laptop bado iko katika condition nzuri
Nauza kwa laki nne na nusu ( 450000)
Biashara.
Kitanda Safi cha chuma,
Ukubwa ni 5"X 6"
Hakina mchubuko wala mkwaruzo
Hakina kutu wala tatizo la aina yoyote ile.
Bei ni 400,000 (mazungumzo yanakaribishwa)
Mawasiliano:
0716403314...
Nina project ya nguruwe kwenye plot ya 1600 Sqm.nguruwe wapo 34.asilimia kubwa wengi ni majike.wawili tayari wana mimba na wawilitumewapandisha.madume wako Kama 8.project ipo bagamoyo...
Inauzwa binocular...(darumini.)
Iko safi..bei laki mbili.
Iko na powerful lens kias kikubwa sana..
Made in Germany
Picha natumipia hapo chini
..
Kwa ana ehitaji aje inbox ...iko dar es salaam
Hodi wana JF,
3D Press Printer/Heat Press inauzwa kwa bei poa sana, ni nzuri kwa wajasiriamali wa Stationery, Printers au yeyote anayetaka kuendesha biashara ya kuprint Promotional items k.v...
KOKOTO BORA ZA UJENZI TOKA LUGOBA..
Tunasambaza kokoto bora kabisa kutoka Moja kwa Moja kwenye Karasha letu Lililopo LUGOBA, Kokoto zetu ni bora kabisa inayozalishwa kutoka katika Mashine za...
Hi guys...ninauza ethnic bags rangi tofauti..ni nzur sana kwa wadada na vijana..
Ubora wake ni mzuri pia.
Karibuni wote..
BEI NI 20,000/= TU
Mzigo ni mchache.
Kwa order tuma massage whatsapp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.