digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,901
- 14,367
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana.
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye hoja ya msingi, ninyi kama ndugu kwangu naingependa kupata msaada kwa hili tatizo langu,
nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la tumbo kujaa gesi na moyo kwenda kasi na maumivu makali ya tumbo , nimeenda hosipitali mbalimbali bila mafanikio. Hivo nimeamua kuchukua rufaa ili nije kutibiwa Dar-es-salaam, ambapo huenda ntapata tiba mahususi,msaada ninaoutaka toka kwenu wapendwa ni
1.mnijulishe hospitali ipi ninaweza tibiwa tatizo langu na hiyo hospitali iwe inapokea bima za NHIF
2 Mtu ambae hatajari wa kunipeleka hosipitali kwani mimi ni mgeni sana kwa jiji la Dar, hivo sijui wapi nianzie na wapi niishie.
3.Mahali pa kulala kwa siku ntakazokuwa nikifanyiwa matibabu Kwani kama nilivosema hapo juu namba mbili kuwa Mimi si mwenyeji lakini pia sina ndugu kwa hapo Dar, hivo hata pesa ya kukaa nyumba ya wageni kwangu ni tatizo kidogo kutokana na pesa nyingi kutumika kujitibia hivyo hata kipato changu kimeyumba sana
Kuhusu swala la chakula mimi nitajitegemea mwenyewe, hivyo mwenyeji wangu asihofu kwa hilo .NB. Nilishawahi kuleta huu Uzi ili kuomba msaada na ushauri was tatizo langu. Nasinzia nikiwa nimekaa kwenye kiti ambapo watu walinishauri ila hali bado si nzuri,.
Kwa yeyote atakaeguswa nainani Mungu atamzidishia na kumlipa kwa fadhira atakayonitendea
Mungu awe nanyi wapendwa.