Mbowe: Hali ya Lissu ni mbaya na yupo kwenye chumba cha upasuaji

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Mbowe.jpg


Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa na Kambi rasmi ya upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe amesema Mhe.Lissu ameumizwa vibaya na yuko katika hali mbaya tangu saa 4 asubuhi hadi sasa yupo kwenye chumba cha upasuaji

Chanzo: Redio One

Pia Soma
- DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali
 
Back
Top Bottom