Nauza kiwanja Mivinjeni

Yassin Khalid

Member
Jul 8, 2016
42
9
Habari ndugu zangu, Nauza eneo kubwa lipo maeneo ya kurasini (kata ya mivinjeni) kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi 0717007272
 
Yassin weka bei tujipime kabla ya kumaliza vocha kukupigia ili tujijue kabisa kama naweza upanda mlima.
 
Watu wanahamishwa mivinjeni na wengine nyumba zinavunjwa..... Ww ndo unatushawishi tune kunenga hapo????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom