Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Aug 10, 2016 #1 Habari ndugu zangu, Nauza eneo kubwa lipo maeneo ya kurasini (kata ya mivinjeni) kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi 0717007272
Habari ndugu zangu, Nauza eneo kubwa lipo maeneo ya kurasini (kata ya mivinjeni) kwa maelezo zaidi wasiliana na mimi 0717007272
Man Mvua JF-Expert Member Joined Apr 12, 2016 Posts 2,179 Reaction score 3,525 Aug 10, 2016 #2 Yassin weka bei tujipime kabla ya kumaliza vocha kukupigia ili tujijue kabisa kama naweza upanda mlima.
Yassin weka bei tujipime kabla ya kumaliza vocha kukupigia ili tujijue kabisa kama naweza upanda mlima.
Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Aug 10, 2016 Thread starter #3 Mil 200 maongezi yapo
mkandumbwe JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 424 Reaction score 371 Aug 10, 2016 #4 Watu wanahamishwa mivinjeni na wengine nyumba zinavunjwa..... Ww ndo unatushawishi tune kunenga hapo????
Watu wanahamishwa mivinjeni na wengine nyumba zinavunjwa..... Ww ndo unatushawishi tune kunenga hapo????
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,484 Reaction score 34,221 Aug 10, 2016 #5 mivinjeni panavunjwa!! jaribu tena
SAMORE JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 411 Reaction score 594 Aug 10, 2016 #6 mission impossible
Prochnost Member Joined Jul 8, 2016 Posts 42 Reaction score 9 Aug 11, 2016 Thread starter #7 Sio upande huo unaovunjwaaa...