Upinzani have fought their battles, watusubiri mpaka tutakapokuwa tayari

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,584
11,659
Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.

Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?

Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
 
Mkuu this is a blessing in disguise, maana wengi hatujawahi kutaste serikali ya chama kimoja. Mfano mimi nilikuwa mdogo sana kurecall nini kilikuwa kinaendela maana kumbukumbu nilizo nazo za mwaka 1995, wakati Mrema ana nguvu sana.
Mabadiliko hayawezekani bila wananchi kuwa na nia ya dhati na iwepo tume huru.
Ile kauli yani nikuteue nikulipe mshahra utangaze mpinzani, ilikuwa na maana kubwa
 
Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.

Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?

Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
Aisee muache utani miaka mitano tena ya JPM duh mtu ataishi je, jama kavuruga mifumo yote ya nchi duh
 
Hatar na nusu wachaa tuisome namba ,lawama zote kwa marehemu kutuletea MTU asiye na hurumaa .
Ujinga Na Maradhi Ni Vita Ya Kuogopwa Saana, Maana Matokeo Ya Haya Mambo Mawili Siku Zote Huleta Umasikini Mkubwa Sana.
 
Acha kelele umeshiba magimbi unakuja kubisha bisha huko si uende ukashangilie pamoja na ccm wenzio kenge mjane wewe
 
Mbowe ndio sababu ya chadema kufeli... chadema watu makini wote wameikimbia...

Viti maalumu vya chadema walikuwa wanapewa nyumba ndogo na dada zao..

Ruzuku hazijulikani zinaenda wapi
 
Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.

Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?

Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
'Tutakapokuwa tayari', inamaanisha ccm? Hao ndio wasiokubali mbadala wao katika kuongoza.
 
MAGUFULI ni adui wa Taifa, nchi ikichafuka mzigo ni wake.
MAGUFULI ni adui wa haki
Wa kulaumiwa siyo Magufuli, wa kulaumiwa hapa ni Alkaeli kinayemfia chama mikononi mwake kwa kukigeuza saccos ya kugawania ruzuku na makandokando yake mengine kibao.

Kaeni mponye kwanza maumivu ya kushindwa na kisha baadaye mtautambua ukweli ulio mchungu!

WaTz wamempa kura halali Jpm, maana yake wanamuamini na kumpenda.

Hadi leo ninaikumbuka Cdm ya Dr Slaa iliyokuwa imesheheni nasaha za kimageuzi ambapo uongozi wa Ccm uliopo madarakani una copy na ku pest toka kwenye idea zake.
 
Mbona Takukuru walishindwa kumtia hatiani kwa kula ruzuku. Huelewi tu jinsi Aikaeli alivyokijenga chama. Bila ruzuku Chadema ita survive kwa misaada.
 
Wa kulaumiwa siyo Magufuli, wa kulaumiwa hapa ni Alkaeli kinayemfia chama mikononi mwake kwa kukigeuza saccos ya kugawania ruzuku na makandokando yake mengine kibao.

Kaeni mponye kwanza maumivu ya kushindwa na kisha baadaye mtautambua ukweli ulio mchungu!

WaTz wamempa kura halali Jpm, maana yake wanamuamini na kumpenda.

Hadi leo ninaikumbuka Cdm ya Dr Slaa iliyokuwa imesheheni nasaha za kimageuzi ambapo uongozi wa Ccm uliopo madarakani una copy na ku pest toka kwenye idea zake.
 
Mbowe ndio sababu ya chadema kufeli... chadema watu makini wote wameikimbia...

Viti maalumu vya chadema walikuwa wanapewa nyumba ndogo na dada zao..

Ruzuku hazijulikani zinaenda wapi
Thibitisha
 
Back
Top Bottom