Upinzani have fought their battles, watusubiri mpaka tutakapokuwa tayari

Watu mitaani wanaanza kufunguka walivyokabithi vitambulisho. Wengine wakapewa elfu 20, 10 hadi 5. Inashangaza sana mtu mwenye akili timamu kuuza kitambulisho elfu 20
 
Kwa upande mwingine, ni jambo jema hawa Career Politicians Wakorofi wa CHADEMA wote wameondolewa legitimacy yao ya Ubunge iliyokuwa inawapa viburi. Tulichoka na endeless public stunts, constant whining na dramas zao. Sasa watafute kazi nyingine, the whole up-to-no-good, useless lot. Hawa watukukutu wote wa Upinzani have now been made irrelevant and, consequently banished from acting out their mischief in the public sphere on the guise of being important elected public figures.
 
Mbowe ndio sababu ya chadema kufeli... chadema watu makini wote wameikimbia...

Viti maalumu vya chadema walikuwa wanapewa nyumba ndogo na dada zao..

Ruzuku hazijulikani zinaenda wapi
Acha kuongea kama unashikishwa ukuta....
 
Hata uchaguzi wa Trump ulikuwa hivyo hivyo. Watu hawakupenda, lakini baadae, they decided to swallow it. Now they are fighting back.
 
Tangu lini huyu mzee aseme mazuri ya serikali ya CCM?

Muda mwingine muwe mnaangalia na wanaohojiwa,,, tangu ashibe matunda ya wananchi kupitia CCM kajifanya ashasahau, mbona hakuwahi kuonyesha movement yoyote pindi akiwa CCM? Baada ya kutofautiana na yeye kuondoka ametufanya tusahau kuwa nayeye alikuwa huko?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Tangu lini huyu mzee aseme mazuri ya serikali ya CCM?

Muda mwingine muwe mnaangalia na wanaohojiwa,,, tangu ashibe matunda ya wananchi kupitia CCM kajifanya ashasahau, mbona hakuwahi kuonyesha movement yoyote pindi akiwa CCM? Baada ya kutofautiana na yeye kuondoka ametufanya tusahau kuwa nayeye alikuwa huko?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ok!! Sawa sasa yeye na nyinyi na shetani
 
Mzee kaniambia mwanangu subiri uione Tanzania ilivyokuwa kabla ya 1995. I felt the pain in that statement. It seems like tunatoka bad kwenda worse.

Hii Demokrasia itatuachia makovu mpaka lini aisee?

Kwa hali hii, turudi tu tulipotoka. Tupunguze misongo ya mawazo pamoja na kupunguza gharama.
Kweli watu mna mahaba,hivi Tanzania kuna upinzani kweli? Upinzani wenyewe ndio huuu 👇👇👇
images (22).jpeg
 
Picha inaongea mengi sana,picha hii ina onyesha upinzani una njaa,hauna msimamo,haujiamini wala kujielewa.
View attachment 1619027

Imagine walifika bei kwa chenji tu ya Mwafrika mwenzetu; hivi kama Beberu akitua hapo leo na madola yake itakuwaje??? Halafu hawahawa eti ndio walinzi wa rasilimali za taifa!? Dunia itatushangaa; Watanzania wamelewa amani yao. ~ Mwl. Nyerere
 
Back
Top Bottom