Kama subject yangu inavyosomeka hapo awali nilikuwa mpenzi mtazamaji wa jukwaa hili ila kutokana na vyuma kukaza na changamoto nyingi za kutafuta mkate wa kila siku huwa nakimbilia kwenye hili...
Habari za humu
Nafurahi kuanza mwaka na familia hii ambayo kwangu ni mpya, ninaamini ni familia yenye upendo, nitajifunzamengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yenu wote hap JF I am a new member.
Nimekuwa msomaji mzuri wa JF tangu 2007, but its now that i decide to formally register myself in this family after i have realized that by not being a...
Hodi hodi waungwana..
NATAKA KUIFANYA JAMII FORUM IWE KAMA TORONTOO
Niambieni ni mambo gani naruhusiwa kufanya na nisiyoruhusiwa kufanya
Jamii forums ?
Ni watu gani maarufu humu jamii forum jamani?
Kiukweli app hii kwa mara ya kwanza nili ifuta baada ya kuna haina faida katika simu yangu, lakini sikujua kumbe inafaida kiasi hiki kwa sasa nimeamua kujiunga lasmi kwa moyo wangu bila...
Hello wanajamii Mimi sio mgeni jamii forums nilikuwepo Ila kama mgeni
Nimeamua kujiunga na JF rasmi Leo naombeni mnipokee
(NINAMASWALI KIDOGO)
-Kwanini members wa JF wanatumia ID fake je?(ni...
Shikamooni wakuu,najua wote humu ni wakubwa kuliko mimi,,Naomba Niweke wazi furaha yangu ya kujiunga Jamiiforum tangia Nikiwa secondary miaka ile ya Uchaguzi mkuu uliomweka huyu Rais wa awamu ya 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.