Hello mabibi na mabwana wa JF ni imani yangu nyote mu-wazima wa afya tele. Pia nipende kuwapa pole kwa pilika pilika za hapa na pale za kutafuta riziki ili mkono upate kwenda kinywani katika awamu...
Nimekuwa mfatiliaji wa JF kwa muda,lakini sasa nimeamua kuingia ndani ya ngoma kucheza na sio kuwa mtazamaji wala mshabiki wa JF.Ombi langu kwenu kama kama jogoo la shamba liliongia mjini;kwa...
The Peak Magazine, ni jarida linalolenga kuihamasisha jamii, kwa hoja mbalimbali zitakazokuza fikra katika nyanja mbalimbali.
Tukiwa wapya kwenye tasnia hii, tunaamini katika kuibua vipaji vipya...