uzi huu nautoa makusudi ili niweze kupata utaalamu au uzoefu walionao wataalamu wa bitcoin , nimejaribu kumine bitcoin toka october na nikafikisha kiwango ambacho nakihitaji ila imeshindikana...
Hello mabibi na mabwana wa JF ni imani yangu nyote mu-wazima wa afya tele. Pia nipende kuwapa pole kwa pilika pilika za hapa na pale za kutafuta riziki ili mkono upate kwenda kinywani katika awamu...