Daah nipo kitambo JF ila sijawahi kujitambulisha,,
Tena uku ndo sipitagi kabisa leo imetokea tu ,, nikaliona jukwaa la utambulisho .
Si vibaya naomba ushirikiano uendelee!
Maana mshanipokea tyr...
Ni Mgeni humu lakin pia ni fundi mtaalam wa Urembo wa Nyumba na Rangi ....Nipo Dar es salaam ila popote nakufikia kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa nyumba yako....Make sure unachukua namba hii...
Naitwa Sadick
Nipo Kigoma
Nimeipenda sana hii familia ya JF ndiyo maana Leo nimejiunga naombeni ushirikiano wetu ili tuweze kupeana maarifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa nikilifuatilia jukwaa hili kwa muda mrefu sasa, basi naomba nitumie fursa hii kuungana nanyi kwa ukaribu zaidi.
Asanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa zangu shikamooni, wengine wote za asubuhi.
Ndio mara yangu ya kwanza kupata ID ya JF nimeona niwasalimu na . Naombeni ushirikiano wenu, nimepata ID ila JF nimeijua tangu mwaka 2016 sema...
The Black Hawk nimetua
26 years ,Male , Straight, Intelligent
Nime join humu kuburudika , ku learn , kuchat na maybe naweza pata mchumba pia
Anyway ndo nisha join
Sent from my iPhone using...
Nawasalimu.
Natumaini nami kuwa mmoja wenu katika kuendeleza JF.
Nimekuwa msomaji wa mda mrefu sasa, sina budi kujiunga nanyi kwa karibu zaidi.
Mimi ni KE kwa wale watakao ulizia KE au ME...