Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habar Wana jf Mimi n mgeni hapa jf, Nahitaji ukaribisho wenu na guideline miiko ya wakuu humu, jf... Maelekezo jinsi ya kuchangia hoja kuepuka kuzozana na kubehave pia ni vizur kwa wenye...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba mnipokee.
0 Reactions
10 Replies
959 Views
Mimi si mgeni sana lakini nilikuwa siko hewani kila wakati.
1 Reactions
7 Replies
924 Views
New Member JamiiForums I need a warm welcome to this Fantastic app...
0 Reactions
5 Replies
660 Views
Mnipokeye wa tanzania wenzangu. Hodi, hodi, hodi........
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Tupo pamoja wakuu
0 Reactions
3 Replies
688 Views
Wadau, Mambo vipi?
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Naomba ukaribisho wenu wakubwa zangu nilikuwa msomaji tu kwa mda mrefu ila nikaona siyo vyema hatimae Leo nikasaini rasmi. Naomba ushirikiano wenu
1 Reactions
3 Replies
628 Views
Hodi hodi wakurugenz ndyg zangu nawakubali san humu ndan amjawai yumba mna akil san yan nyie mpak mke nilie mweka ndan nimempatia humu ndani wew ana akil nying sana
2 Reactions
10 Replies
810 Views
Wapendwa jina langu Ni JB Wapps. Naomba ushirikiano wenu.
0 Reactions
1 Replies
619 Views
Habari, mimi ni mgeni humu ndani naomba mnipokee [emoji120][emoji120]
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu waafrika wenzangu, mimi ni mgeni JF naomba mnipokee. Ahsante!
1 Reactions
2 Replies
802 Views
Ebwana Eeeeeee Hube nikaribisheni kwanza [emoji23] Tutakua pakua pamoja kwenye kupeana nyuzi mbali mbali, Nategemea ushirikiano wenu wana JF!!!
2 Reactions
6 Replies
791 Views
Salim Shaban Mmbago ni mara yangu ya kwanza kutumia jamiiforums naomba ushirikiano katika nyanja tofaut tofaut mimi ni bado kijana mdogo nahitaji kuwa ni mwenye kujiexpose kwa watu kwa njia ya...
1 Reactions
3 Replies
600 Views
Naomba mnipigie major kidogo, maana nimefanikiwa kujiunga pamoja nanyi.
1 Reactions
5 Replies
822 Views
Tupo pamoja sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mambo zenu ..kwa jina naitwa Angelina naweza sema sio mzoefu Sana na mazingira ya humu ..lakini nilichofurahi nimekuta positive people ambao unaweza omba ushauri na wakakushauri vizur tu ...
1 Reactions
4 Replies
771 Views
wakuu naombeni mnipokee natumaini ntajifunza mengi hapa!
0 Reactions
4 Replies
920 Views
Habari za j2 Mimi naitwa Vivian ni member mpya humu nimefurahi kujumuika nanyie nawatakia asubuhi njema nawapenda Mungu awabariki
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom