Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hii am new in this forum
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Nimejiunga muda sio mrefu.I hope tutashirikiana vizuri.....
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodi hodi waungwana naomba mnikaribishe mimi ni mgeni kwenye group hili la Jamiiforum.
0 Reactions
4 Replies
805 Views
Holla,Im New Here🙋
0 Reactions
5 Replies
960 Views
Heshima Yenu Wakuu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wa JF habari Mimi ni mgeni hapa kwa jamvi nawaombeni makaribisho mema.
1 Reactions
4 Replies
976 Views
Habari zenu wadau wenzangu. Na mimi ninaungana nanyi humu ndani.
0 Reactions
3 Replies
796 Views
Helo wakuu, new comer
1 Reactions
5 Replies
867 Views
Together we can nahitaji umoja wenu katika nyenzo zote Kama urafiki, pia ushirikiano
1 Reactions
3 Replies
787 Views
Naitwa msin member kuanzia 2020 japokua nafatilia JF tangu 2o11 nlipoanza kutumia simu yangu rasmi🙈
1 Reactions
4 Replies
818 Views
Wakuu habari? Naombeni mnipokeee humu ndani baada ya kuwasoma nikiwa nje toka mwaka 2009 nilipoijua Jamii forum naomba kuwa mwanafamilia.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi mwenzenu nimekaribia nahitaji support yenu wakubwa kwa wadogo!! Barikiweni, wenu mpendwa wa Mungu Mimi
0 Reactions
5 Replies
754 Views
Habarini! I am new to this forum naomba cooperation yenu!
1 Reactions
10 Replies
917 Views
Hi Everyone. I am happy to be a Member with you.
2 Reactions
3 Replies
995 Views
Naitwa Emmanuel, nimekua nikifwatilia habari nyingi na Mambo kedekede kutoka JF... Nikijaribu ku-chek thread nyingi hasa kuhusu biashara naona nmechelewa Sana, tuko pamoja sana
1 Reactions
3 Replies
658 Views
Kwanza niwashukuru waungwana wote waliopo na walio-anzisha ‘Platform’ hii ya JF. Nimekuwa nikikaa ndani mwenyewe baada ya mambo yangu kuyumba sana hususani ‘Financially’ na huku nikikosa mtu wa...
2 Reactions
1 Replies
764 Views
Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanandugu katika JF. Mimi nimejiunga hum toka 2017 huko ila skua napata muda wa kuchangia sana sababu ya mambo na namna namna za hapa na pale mpaka nilipoamua kupakua app kwenye sim...
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Mambo vipi! Naitwa Baredo,ni Mtanzania kwa kuzaliwa,kitaaluma ni Mhandisi Mitambo (Mechanical Engineer),umri wangu ni 30+ bado sijaoa. Natumaini nitapata ushirikiano wenu ili niendelee kujifunza...
2 Reactions
9 Replies
972 Views
Hatimaye rasmi leo nakuwa member wa jamiiforum naomba ushirikiano mwema toka kwenu wadau
0 Reactions
4 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…