Habarin wanajukwaa! Nadhan mnaendelea vizuri na pilika pilika za kila siku! mimi ni mdau mzuri wa JF ila sijawahi kua memba! ndo nimejisajili, naombeni ridhaa yenu wakuu nmipokee kwa mikono...
Napenda kuwafahamisha kwamba leo nimejiunga rasmi na JamiiForums baada ya kuwa muumini wa kusoma na kufuatilia nyuzi humu hasa za siasa kwa muda mrefu sasa. Naomba mnipokee. Naamini mmekubali...