Mbunge wa Jimbo la Butiama Jumanne Sagini amewataka wananchi kufanyiwa vipimo kabla ya kuoana kama waelekezavyo watoa huduma za afya ili kupunguza tatizo la ueneaji wa ugonjwa wa sikoseli ambapo...
Ulevi wa pombe sigara bangi na kilevi chaaina yoyote pia umalaya kuwa nawanawake wengi wew kama kijana pia ujinga nichanzo cha umasikini maisha nilazima upambane tunza kidogo ulichonacho kiwekeze...
Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao...
Karibu.
Je, wewe ni mpya hapa JF? na kuna changamoto gani unakutana nazo ukiwa mtumiaji mpya wa JF, eleza na utapata majibu kwa wabobezi wa kutumia JF.
Naitwa SOSPETER JOHN MTATIRO NYAKIHA ni kijana mwenye umri wa miaka 22 naishi TABORA mjini ni mjasiliamali nafanya biashara ndogo ndogo nimefurahi kuungana nanyi wana jamii forum kama kuna mwana...
BWANA ASIFIWE ............. !
Najitambulisha kwenu wana JamiiForums kwamba ni mgeni wenu.
Natarajia mapokezi na ushirikiano kama mwanajamii mzee lakini kijana katika jukwaa !
Mimi nina mke mmoja...