ni furaha kubwa nilio nayo ku-join na nyinyi hapa jamvini...naomba kupokelewa.Nadhani sina haja ya kutoa CV yangu hagdharani, day goes tutajuana vizuri..hodi hodi!!!!!!!!
Hello members wa JF. Nimekuwa mtazamaji wa hoja mbalimbali kwenye hili jukwaa kwa mrefu na nimevutiwa sana na mambo mbalimbali yanayojadiliwa humu. Hivyo nimeona na mimi nijiunge ili nijumuike...
Kwa Waislam "Asalam Alaykum" Wakristu "Praise the Lord" Wapagan mpoooo?? Jamani mie ni mgeni humu ndani, Kwanza mnisamehe, kabla ya kujiunga Jf, nlikuaga nasoma Post zenu bureburee...! Pili...
Wanajamii Tafakar kali nimeingia sasa kwa mada mbalimbali za kuvuta hisia hasa maeneo ya siasa,na jamii hapa ndo maala pake, hoja za watu wa kawaida kitaa na mitazamo yetu uswazi,hapa huta...
Jaman wana Jf ,kwanza napenda kuwasalimu wadogo, ni aje? Na kwa wakubwa shikamoni!
Nimejarbu ku log in kwny Jf kwa takrban mwaka mzma lkn imeshndkana ,cha ajabu leo imekubal na kila ki2 nmekiona...
Dear all jf members,
i am really happy to join you, kindly accept my join. I like interactoin of the site and promise to make positve contributions on different subjects.i hate lies and...