Wana JF wenzangu, natumai muwazia na wenye afya, natumia nafasi hii kujitambulisha kwa uwepo wangu ndani ya ungwe hii adhimu iliyojaa elimu, tafadhali nipokeeni ili nami nipate mawili matatu ya...
Hodi hodi Wanajamvi
Kama ilivyo jadi yetu, si busara kukaribia jamvini kabla hujakaribishwa, na ndio maana sisi kama SEN tumeamua kuja kugonga mlango kwanza.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa...
Hi guys, I'm honored to be a new member of JF, I really enjoyed the discussions and comments when I was outside and I asked myself, why not join the Forum! It is my hope that I will be of some help.
Sijaja kupanua vidole kama vijana wa chadema nimekuja kupanua akili kupanua fikra kwa maendeleo ya taifa langu wito wa dhati kwenu ni kwa pamoja kuacha kupanua vidole bali tupanue akili
ndugu zangu mnakumbuka enzi za urafiki wa kalamu? kitu cha kusaka marafiki kwenye magazeti hv ni nani aliwahi kupata rafiki na hadi sahv wakoje kwenye huo urafiki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.