Hi everyone, I'm new in this forum. I know that forums are a good place to learn and interact with other people , so that People can share their experience with each other. I have read many...
MIe mgeni mwenyeji humu ndani,watu watataka kujua MALICK MUSSA ni nani ni kijana wa kitanzania mwenyeji wa LINDI mwenye asili ya LINDI vijijini katioka kijiji cha ujamaa cha NJONJO kata ya...
Nimekuwa nikiingia humu JF kama guest, nimechoka...sasa naingia ili niwe mwanafamilia ili nipate fursa ya kujadili mijadara mbalimbali humu. Say welcome to me please.
Habari wakuu, naombeni mnipokee ndani JF, natumai kupata ushirikiano kama nilivyoshuhudia ushirikiano wa kimawazo nikipitia kabla ya kuchukua uamuzi wa kujiunga.
Nawatakieni heri na baraka tele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.