Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
wapendwa naomba 2shirikiane mdau mpya toka KILL FM
0 Reactions
6 Replies
956 Views
Mimi ni new member wa jf tafadhari natanguliza shukrani za dhati na naombeni ushirikiano wenu.... asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mara nyingi nimekuwa nikijifunza humu kwa kuangalia post za wakuu zangu,sasa nimeonelea n bora kuingia kabisa il nijfunze zaid kwa kuulza pale inabd asanten naomba mnipokee
0 Reactions
5 Replies
792 Views
nimevutiwa na jamvi hili naomba mnipokee wapendwa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Asalam aleykum na bwana yesu asifiwe
0 Reactions
8 Replies
998 Views
hodi jamani.mie mgeni naombeni mnipokee.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari!, Wenzangu kwema humu?, hakuna ubaguzi kwa majadliano?, tunatakiwa kuwa marafiki, kujadili bila ubaguzi wala matusi, mambo ya maendleo yazungumzwe zaidi, kujikita kwenye mambo muhimu katka...
0 Reactions
3 Replies
900 Views
Waungwana,hasa wale walolewa ktk makuzi ya kiafrika,yenye mila na destur poa..haswa watanzania wenzangu,ambapo ukiwa na shida hauulizwi kabila lako nan,bal utaxaidiwa kwanza stor baadae..! huwa...
0 Reactions
6 Replies
867 Views
Nawakaribisha wanajamii forum wanaokaa Nairobi ili tuweze kukutana na kupeana mawaidha live. Nimekaa hapa Nairobi kwa muda sasa lakini sijawahi kukutana na mtz aliyeko kwenye jamii, kila...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hodi hodi nimeingia
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Haya wadau naomben mnipokee
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi hodi huma ndani members wote,nadhani mko sawasawa
0 Reactions
5 Replies
854 Views
Baada ya kumzungusha jamaa siku nyingi huku akihudumia mzigo,, akaamua kuhoji namna gani mbona hunipi tunda la roho sasa mbwembwe nyingi? Akasema Baby Mi kwakweli nivumilie tu mpaka tuoane ndo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hellow
0 Reactions
4 Replies
756 Views
Nawaombeni mnipokee pia tujenge urafiki
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Habari zenu wana jf, mi ni mgeni humu, hope tutapeana ushirikiano wa nguvu. Asanten
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi mgeni humu ndani naomba mnipokee ......pamoja sana..... :thumbup::thumbup::thumbup:
0 Reactions
6 Replies
938 Views
jaman nipeni ushaur nina demu nimemit nae kwenye gari tukapeana namba na sasa anataka nifanye nae mapenz bila kinga
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni jamani naombeni ushikiano wenu wapendwa wa jf
0 Reactions
4 Replies
790 Views
Hi people,new to jf, i need your cooperation.thanx
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Back
Top Bottom