Kwa Wanajamii watz waishio Nairobi-Kenya na wanaotegemea kuja matembezi Nairobi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wanajamii watz waishio Nairobi-Kenya na wanaotegemea kuja matembezi Nairobi

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by The Son of Man, Oct 6, 2010.

 1. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nawakaribisha wanajamii forum wanaokaa Nairobi ili tuweze kukutana na kupeana mawaidha live. Nimekaa hapa Nairobi kwa muda sasa lakini sijawahi kukutana na mtz aliyeko kwenye jamii, kila ninayekutana naye nauuliza kama yuko hapa ananambia hapana. Hata watz wanajamii watakaokuja Nairobi tutafutane jamani tuweze kuonana na kupeana mawili matatu bila kjali hitikadi na mitazamo yetu, hata kaka MS namkaribisha kwa moyo mweupe. Nawasikisha!
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu khasante yakhee, dah nilikuwa hapo last week nilikiona kimbembe maana nilikata ticket hizi za vijiweni hahaha kufika hapo Presicion air wakasema sina ndege labda eti nisubiri one week ndo ntapata nafasi, sikuwa na mtu hapo na mizigo yangu yote ilikuwa bongo mana nilimiss flight DUBAI so all ratiba ikavurugika...nilipanda bus next day...natarajia kuja hapo tena desember kama vipi tutawasiliana mkuu..

  ITABANYA BALASI
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Karibu!
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Tutakuja Genekai ...tunashukuru kwa ukaribisho wako ..
   
 5. J

  Jafar JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nitakutafuta siku nizuka hapa kwa Kibaka (sorry Kibaki)
   
 6. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe genekai acha uzushi, sasa unataka tukionana tujitambulishe majina yetu ya humu ndani au nikuambie nimepata ujumbe wako humu huna haja ya kujua mimi ninani. By the way Nairobi kubwa, sasa tutakupataje? Mbona hujaacha namba zako za simu?
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Waweza kuniita mzushi au jina lolote na cheo chochote utakacho kama utapata furaha moyoni, lakini hadi natuma hii thread hakuna alonambia niilete hapa bali nimeamua mwenyewe, kuhusu majina mbona tunafahamiana wengi tu hapa jamvini kwa majina, ninalotumia kama id ni majina yangu mawili kwa taarifa yako. Kuhusu namba ya simu sioni kama ni tatizo kuipata naweza kukupatia kwa njia yoyote ambayo ni descent. Kuhusu ninapo kaa ni kuwa nakaa Karen hapa hapa Nairobi. Narudia tena karibu kwa moyo mkunjufu!
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  :llama: Asante tunawahi huko!!!
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Asante Genekai, njiani soon:llama::llama::llama:
   
 10. AL SHARPTON

  AL SHARPTON JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2014
  Joined: Feb 6, 2014
  Messages: 2,808
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi nipo Kibera.
  Karibu sana ukipata muda, ingawa watu watakutisha kuwa sio salama lakini nakuhakikishia kuwa hakuna sehemu poa Kenya nzima kuliko Kibera. Nipo hapa na wenyeji wako poa.
  Ukuje pande hii
   
Loading...