Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
hey everyone its ariana hv a goodnite
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF, Napenda kuwasalimu katika jina la aliye mkuu kuliko wote ambaye ndo aliyeumba ulimwengu huu. Leo nafurahi kuutangazia umma kuwa sasa na mimi niko JF tayari kuchangia mijadala...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nikijiita raster kipara ni vibayaa:what:
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hod jaman... naomben karibu zenu za kheri ili tuweze share busara zangu asanten
0 Reactions
9 Replies
1K Views
New member......
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Once a lurker, now a member looking for a time to remember..........that sounds like something one would write on a creepy dating website. Anyway, am glad I have finally joined. Cheers!
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Could U welcome me please?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi hodi wakuu,mimi nitakuwa pamoja nanyi,naomba mnipokee viongozi wangu,tutakuwa pamoja.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mi mgeni humu
1 Reactions
5 Replies
921 Views
Habari zenu wakuu, nimerudi katika jukwaa letu pendwa baada ya mapumziko ya muda. Shukran kwa Mkuu Katavi, Mkuu watu8 na Mkuu Ulimakafu kwa kuendelea kuwapokea wageni. Bila kusahau members wote...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF. Mimi mzima wa afya namshukuru Mungu. Ninayo furaha kubwa kujiunga nanyi katika jamii hii. Niwatakie siku njema.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kitambo nimekua nafuatilia JF kupata taarifa mbalimbali nikiwa unregistered, kwa sababu sikupenda baadhi ya majibizano yaliyotumia lugha chafu. Baada ya kitambo nikagundua naweza kujiunga na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi nyie kwani lazima mkiingia humu muwe munapiga hodi?! nyie kama muaingiia ingeni tu sio kila mtu hodi hodi...tumewachoka na hodi zenu kwa maana hatulali sasa kila time hodi...me nimeshachoka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu mm n memba mpya.Naomba mnipokee tuko pamoja
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mie mgeni humu jamvini naomba mnikaribishe, nipo teyari kupokea marekebisho. Wahenga walisema kuku mgeni hakosi kamba mguuni. Asanteni.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
nmekuwepo kwa muda sasa....hodi jamani....naombeni ushirikiano
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodiii........ wenyewe mpo?au hawapo niondoke....
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ni mgeni katika jamvi hili naomba ushirikiano
0 Reactions
10 Replies
2K Views
habari zenu. nauza viwanja vyangu vilivyopo kigamboni eneo la kibada wilaya ya temeke. viwanja vyote viwili vipo block 19 kibada. kiwanja cha kwanza ni kiwanja namba 395 kina 1002 square metres...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
:llama::llama::llama::spy::spy::spy::llama::llama::llama::llama:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom