Kwa takribani miaka mitatu,nimekua nikipita hapa jukwaani kama "guest".Sasa ni wakati mwafaka wa kujiunga na jamvi hili,nipokeeni kwa mikono miwili mimi "formula2"
Kwa kweli nimesikitishwa na uchanguzi huu, ina maana kweli katika warembo wote huyu ndo anafaa? . Hili shindano linaelekea kufa. Reds na wao wajiuzulu kudhamini shindano. Ni upuuzi mtu. Bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.