Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
jamani me mgeni wenu naomba mnipokee humu ndani
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani wana Jamii forum mimi ni mgeni mwenyeji...nimekuwa nikiisoma forums mbali mbali humu ndani...nikaona ni jambo la kheri na mimi kuwa member
0 Reactions
7 Replies
937 Views
mnipokee na ushirikiano pipo
0 Reactions
7 Replies
874 Views
New memba...... kwa ukarimu naomba mnipokee kwakuwa mawazo yangu yatakuwa na mchango kwa hiki kizazi cha mlege na vimini
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi kidogo nasema hodiii,wakubwa heshima yenu,wadogo hamjambo?mie mgeni jamani naombeni kumbatio lenu wenyeji. Asanteni.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
V
0 Reactions
5 Replies
792 Views
Nimekuwj nikifuatiria sana mijajara mingi sana humu .kiukwel huwa na enjoy sana.nashukuru leo nimepewa fulsa ya kujiunga nanyi naombeni mnipokee.NAWAPENDA NYOTE
0 Reactions
7 Replies
918 Views
hamjambo wana jf,nimekuwa nikilifuatilia jukwa hili kwa mda sasa nanimeamua kujiunga nanyi na ninaomba mnikaribishe wana jamvi asanteni.
0 Reactions
10 Replies
961 Views
wazima humu mapokezi ndio wap??
0 Reactions
8 Replies
962 Views
Hi.. Wanajamvi
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimaye nimefanikiwa kujiunga na JF baada ya kujaribu mara nyingi na kufail,nina iman wanajf mtanipokea kwa furaha member mwenzenu kwan JF ni kisima cha maarifa na busara,ahsante na Jioni njema.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mim ni mgen sijui kutumia jf, naulizia post hi imewafikia?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Please welcome me! What should i do?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani nimerudi, safari yangu haikuwa nzuri. Kama unamuamini Mungu ukipumua basi shukuru kwa kila pumzi. Nitajitahidi kuwa jamvini kwa muda wa kutosha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi everyone, Naitwa siri ni member mpya wa jf..... excited kuingia humu. Msichana miaka 25, mrefu...... cant wait 2 make new friends......
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Hi!! wana JF, I'm a new member, plz receive me!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
habari zenu waheshmiwa mi mgen naomben mnipokee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam Great thinkers, Mimi ni mgeni humu ndani,naomba mnipokee,nimekuwa nikiingia Kama mgeni kwa muda mrefu lakini nimeona sio mbaya nami nikijiunga, na JF, naomba kuwasilisha.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naingia hapa kwenye hili jukwaa Please mapokezi mazuri kidogo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi mgeni nmependa sana kujumuika nanyi wana Jf nmekua nkifatilia sana Jf kwa kipindi kirefu naombeni mnipokee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…