Mimi ni mgeni humu ndani...naombeni mnipokee nmekua nikiadmire contributions za wachangiaji tofauti tofauti na vile vile nimekua dissapointed marta nyingine na baadhi ya comments lakini ni...
habarini wenyeji
hope mmeshnda poa ila kwa wale wenzangu poleni na swaumu..
daah! ila nimechoka kweli nimebeba mafurush yangu yote nimehamia humu ndani nikaribishen jamani hata kwa miguu ya...
Kwa mda mrefu nimekuwa nikielimika, kuburudika, kuhuzunika, kushangaa na kupanuka kimawazo kutokana na mijadala tofauti tofauti ya ndani ya JF. Natowa tamko sasa kuwa nimejiunga rasmi ili kuwa...
habari zenu, bila shaka m
kopoa ila baada ya utambulisho ninaomba mnisaidie ni njia gani nitumie ili niweze kutuma maombi ya kazi kwa njia ya email/mtandao maana sijui hata kidogo naomba msaada...
Wasalaam wakuu!
Jamiiforums kwangu ni kama wikipedia ya bongo nilikua napita juu kwa juu sasa nimeamua kudumbukia kabisa ili niweze kuchangia na kuchangiana mawazo na wanajamii wenzangu wenye...
Mtu Makini Kwenye Mahali Makini. Nipo mda mrefu Sana na ninafurahia kuwa humu ndani nanyi nyote. Mbarikiwe Sana na Mungu Baba na Mwana na Roho Mtakatifu. Amina