Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Habari? wapendwa ninayo furaha kubwa kuingia katika jamii forum natumaini kujifunza mengi kutok akwenu wadau na mimi kile nilichonacho nitajaribu kushirikiana nanyi lengo ni kujengana na kusonga...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
How is it lyk jukwani hapa guys coz its da 1st tym.
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wana jf.
0 Reactions
5 Replies
982 Views
Habari wana jamii forum,naombeni mnipokee mimi mgeni humu ndani sio mbaya nikipata na mwenyeji wa kunionyesha mazingira.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tupeane support wapendwa ninapobisha hodi is me MC Chere. MC pekee ninayemini kuwa akheri umdharau unayemjua kuliko usiyemjua maana ipo siku sura yako utaificha kwenye kiberiti. Na nahisi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni mmoja kati ya watu wanao itakia mema jf naomba kukaribishwa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya muda mrefu kufuatilia mijadala ndani ya JF... Sasa nimeamua kujiunga nanyi tujumuike pamoja. Wadau wa michezo tutakua pamoja hasa washika bunduki wa Ashburton Groove
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Habari wadau mie mgeni pande hii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi humu wana jfo mpo? Namefurahi kujumuika nanyi.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi wadau, mimi ni mgeni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Hello jf!mimi ni mgeni humu
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Nimejiunga hivi karibuni wapendwa!!! Lkn daaaah!! Pamoja na kukaa na pc muda mrefu nimeshndwa kuandka new post lkn NIMEWEZA KWA KATECNO KANGU!! Nategmea makaribisho memaaaa!!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa kweli ninajifunza mengi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hodi wana jamvi naombeni mnipokee rasmi ili tujumuike pamoja kwenye mchanganuo wa hoja
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Napenda up to date issues
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Naomba mapokezi yenu ili tujumuike pamoja katika kulijenga taifa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuwa member nikiwa nje ya Jamvi kwa kipindi kirefu, kwa heshima naomba kuungana na wanajamvi ili kuwakilisha na kuchangia mambo ya msingi yanayo tuzunguka katika jamii. Asanteni wakuu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello wana jf mimi mgeni jamani kwa hiyo nikikosea naitaji kurekebishwa ahsanteni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nafurahi kujiunga nanyi naomba tuwe pamoja.
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…