Toka Miaka Ya Nyuma Naikubal JF Ila Sikua Member......Kuna Muda Nilikua Nikijiunga Aileti Majibu!! This Time Iwon!!!!! Naomba Kukaribishwa Na Members Wenyeji.........
ni kama wiki mbili tangu kujiunga na JF hvyo nahitaji support yenu kwn bdo ni new member naamini ushirikiano wenu utafanya nifurahie kuwa JF na bila support yenu ntajihic mpweke sana....#OneLoveJF