Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nitaungana na wanajamii wenzangu kwa kila nyanja
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuuliza sio ujinga mm mgeni jf..nauliza kwamba mitandao mingine ya kijamii fb wasp..nk. Mtu anaweza kuunda group je! Na humu jf naweza kuunda group..!!!!
0 Reactions
4 Replies
954 Views
Habar wandugu! mimi ni mgeni humu naomba mnipokee. Asanteen
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndo naingia jamiii forum kama hivi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naitwa Nyosso, nimeamua kujiunga na mtandao huu ili tuweze kubadilishana mawazo. Kama jina langu lilivyo, ukiniletea fujo nina kuNyosso kama kawaida. NYOSSO
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni mgeni humu na tumaini tutakuwa pamoja.nawatakia siku njema
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana...
0 Reactions
96 Replies
16K Views
Hodiiii fariji malekela nipo makambako nawapenda wote
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgeni hum nawacheki tuu
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hodi wenyeji
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hodi humu ndani....... Naitwa Abry, me wa miaka 27,Naish dar. Nimesoma vyema kanuni za JF nitajitahidi kuzitekeleza kama zilivo ainishwa...... Naipenda JF na wana JF kwa ujumla.
0 Reactions
6 Replies
959 Views
habar zenyu wakuu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu wa kitengo mm ni mgeni namba kukaribishwa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Jasson Jaspa niko Mwanza.
0 Reactions
5 Replies
968 Views
Habarini
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wenyeji hodii..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana habari zenu, nimesikia sifa za jamiiforums huku na kule, hatimaye nimeona niingie humu nijionee sasa sijui nianzie wapi. Ushirikiano wenu tafadhali.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF nikaribisheni ni mgeni nipo mlangoni
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Naomba mnipe ushirikiano me ni mgeni
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Nawapenda nyote naomba mnipokee
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom