Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimeamua kuja kuwasalimu great thinker baada ya kufanyiziwa na moods heshima yenu mods
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada wa maelekezo namna ya kutumia huu mtandao vizuri,itanisadia kuupenda au kuuchukia mtandao huu.
1 Reactions
45 Replies
3K Views
jamani hodi i am a new member of jf naombeni ushirikiano
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hodi humu ndani, Kanifata mtu PM anataka nijitambulishe na kuwasalamu members naanza Habari zenu wote.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF Mimi ni mgeni humu naomba muongozo Nategemea ushirikiano kutoka kwenu wote Nitajitahidi kutoa ushiriano pia inapobidi Ahsanteni [emoji847]
0 Reactions
7 Replies
798 Views
Jaman me mgen japo sihitaj kamb mguun naomb mnipokee
0 Reactions
1 Replies
658 Views
Mambo zenu rafiki
2 Reactions
9 Replies
981 Views
Naitwa Stein Junior, niliingia JF since last year mid 2017. But sikuwahi kujitambulisha wala kupata ukaribisho. Nipokeeni mgeni mnipe uraia kabisa. hata mkinipendekezea ID mpya nzuri ya kuitumia...
0 Reactions
8 Replies
932 Views
Nigan JF user Aisee mm humu nimgeni ndio kwanza nimejiunga !! Nilitaka kulisongesha katika idara za business,Mapenzi, siasa na mambo mengine ya kijamii!! Naomba ushirikiano na tupeana Raman Kama...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mambo vip wana JF
0 Reactions
3 Replies
693 Views
Mimi ni mgeni mwenyeji,nimekuwa mfatiliaji mzuri wa jf,hivyo nikaribisheni
0 Reactions
4 Replies
948 Views
Kwa heshima na tahadhima napenda kuwasalimu kama ifuatavyo, mliokula chuvi nyingi shikamoni, mliokula chache kwemaa?, Mimi ndionimeingia rasmi ktk hili jukwaa. Ahsanteni.
0 Reactions
1 Replies
635 Views
Habari zenu ndugu, na furaha kubwa kujiunga na Great Thinkers (Jamii Forum)...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mimi ni mgeni naomba kukaribishwa
0 Reactions
5 Replies
832 Views
nawasalim wanajamii mlio humu, natumai mtanipokea kijana wenu na kujifunza mengi kutoka kwenu.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi nimgeni hukundani naomba ushilikiano wenu
0 Reactions
8 Replies
924 Views
[emoji185]
0 Reactions
3 Replies
684 Views
Toka nijiunge nna wiki kadhaa cjawah fika huku naishiaga huko kwenye ukumbi wa intelijensia leo ndo nashtuka kumbe kuna utambulisho. [emoji23][emoji23] #DodomaBoy Inakuwaje jmn? Tuko pamoja.
0 Reactions
4 Replies
659 Views
jamani kwema huku? hodi,nikaribishen!!
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Back
Top Bottom