Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodi ndugu zangu wana jf Mimi mgeni naombeni mnipokee Ahsanteni!
0 Reactions
13 Replies
1K Views
mi tayari ni memba ila nataka kuweka picha yangu hapo muione. how do i put it
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF. ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimetoka huko mbali, Nimefika japo nimechoka. Mwili mzito huu. Nipeni like zenu nizile nilale. AU TUNALALA BILA KULA (na) ..?
8 Reactions
13 Replies
552 Views
Mzukaa wana jamvi ? Yerereeee!!! Naombeni wana Jf mnipokee leo nimetimiza ndoto yangu ya kujiunga Jf kutokea Umongolian . Wanawake ninaowakubali humu ni pisi Kali BICHWA KOMWE - ,Kwa Wanamume...
5 Reactions
8 Replies
880 Views
Mwl Crian Rwegasira Karoly alizaliwa tarehe 02/02/1990 katika kitongoji Nyamitundu Kijiji Kisana kata Kyebitembe wilaya Muleba Mkoani Kagera. Alianza shue katika shule ya msingi Burigi kata...
7 Reactions
62 Replies
7K Views
Naipenda sana jf
3 Reactions
10 Replies
461 Views
Nimefurahi kujiunga nanyi naomba ushirikiano wenu luv ya all
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Mabibi na Mabwana, Nabisha hodi mnipokee jamvini humu....
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Tangu July 2010 nimekuwa nikipita na ku-view as a guest ila sasa nimekuja kama member,naomba mnipokee.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nashukuru kupokelewa hapa
2 Reactions
7 Replies
447 Views
Habari zenu wakuu mimi ni new member naomba mnipokee sina mengi ya kusema ni hayo tu
5 Reactions
9 Replies
30K Views
Mambo vipi wanajukwaa? Mimi ni mgeni kabisa humu, nipokeeni kwa mikono miliwi. Pia ninaleta andiko la kuomba ushauri katika haya maisha.
2 Reactions
19 Replies
26K Views
Habari ndugu zangu, poleni na mihangaiko ya siku. Ni muda mrefu nimekuwa nikisoma michango yenu kupitia majukwaa mbalimbali, nimekuwa nikijifunza kupitia elimu muitoayo, nimekuwa nikifurahi pia...
5 Reactions
86 Replies
8K Views
Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa. Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
1 Reactions
6 Replies
623 Views
Habari zenu wana Jf? Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana.... Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti.. Ahsanteni!!
2 Reactions
6 Replies
688 Views
Hi
Hodiiiiiiiiii wanajamiiiiiiiiiii
7 Reactions
17 Replies
3K Views
To be honest Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy Yani imenifanya kichwa kigande Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona...
11 Reactions
99 Replies
4K Views
hodi hodi uwanjani, kwa wa vioo vya rangi na wa viganjani, nakaribia uwanja wa nyumbani, ....niendelee? :redface:
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nilikuwa nikitumia JF kama Guest tangu zamani ila sasa nimefungua akaunti rasmi.
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…