Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani nikaribisheni! Nimekuja kujiunga nanyi.
1 Reactions
8 Replies
775 Views
Habari wakuu, Naomba kukaribishwa "home of great thinker" rasmi kama mdau baada ya kuwa mfuatiliaji wa jukwaa hili kwa muda mrefu Nawasilisha, Asanteni Sana.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mi mgeni humu jamani
0 Reactions
5 Replies
739 Views
Mi mgeni humu nipokeeni jamani
1 Reactions
5 Replies
725 Views
Habari za Majukum watanzania nimeamua nijiunge nanyi.mnipokee
0 Reactions
3 Replies
797 Views
hodi tushilikiane
0 Reactions
5 Replies
796 Views
hodi
1 Reactions
10 Replies
998 Views
Hodi wana jamii forum ni new member naomba mnipokee mgeni
1 Reactions
4 Replies
617 Views
Hodi mpaka ndani wana JF. Leo nimetimiza ndoto yangu ya kuwa member wa mtandao huu pendwa. Naombeni ushirikiano wenu.
0 Reactions
6 Replies
950 Views
Naitwa Jackson V.K.K Mtaalamu wa maswala ya Biashara na Ujasiliamali,Sayansi na Teknologia Ya maswala ya Kompyuta,Blogger,Vehicles na Mengine mengi.. Tutakuwa pamoja katika kuelimishana zaidi...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hodiiiiiiii.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Asalam asylum, ndugu na marafiki ndio naingia kwa awamu ya kwanza kabisa naomba kufahamishwa kanuni na taratibu za humu ndani ahsantebi.
0 Reactions
9 Replies
978 Views
Nimehama toka kuwa msomaji wa JF kuwa member kamili...
0 Reactions
16 Replies
935 Views
Mimi Mgeni humu ndani matumaini yangu mtanipokea kama mwanaJf mwenzenu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana wa JF natumaini ni wazima wa afya naombeni ushirikiano wenu ndugu zangu.
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Habari zenu wadau, mimi ni mgeni naomba ushirikiano
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jf! Siku izi zama zimebadilika sana, hadi kina bibi tunajua na bdo tunaendelea kujifunza ktumia mitandao.. Mim n bibi wa mwendokasi, Naomba mnipokee kwa mikono mi2. Povu...
12 Reactions
534 Replies
20K Views
A,alykum, bwana yesu asifiwe. Natumain muwazima buheri wa afya! Jina langu kama linavo jieleza, umri wangu ni miaka 20 naishi MOROGORO m/spaa&wilaya ya mvomero. Hivo sio vibaya kama...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom