Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
1 Reactions
3 Replies
493 Views
Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
1 Reactions
3 Replies
562 Views
Habari zenu wakuu, Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro, Yanayouzwa kwa bei rafiki Asante
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia. Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo...
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla. Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba kama naweza saidiwa maswali ya interview ya afisa uvuvi msaidizi.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?
1 Reactions
9 Replies
706 Views
Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi...
18 Reactions
66 Replies
20K Views
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamn kwa jua hili Tunaomba serikali iwape wananchi mafunzo na uwezeshi kwa kilimo cha umwagiliaji maana hali c hali
1 Reactions
4 Replies
574 Views
Ninanunua Mawe ya kwenye Nyongo ya ngombe. Kwa bei ya 35,000 mpaka 38,000 kwa gram. Yakiwa yamekauka. Kama unayo au kuna mtu anayo njoo pm.
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wapambanaj wenzangu wakilimo hapa ulipo bei ya mahindi na maharage kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngap
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya mvua za msimu huu kuwa za kusita na kupoteza mbegu kwa kupanda zaidi ya Mara mbili na kuungua na jua, huku nyanya nazo zikiwa zinachechemea, nimeamua kuanza ufugaji wa kuku chotara Aina...
35 Reactions
196 Replies
51K Views
Kwa mahitaji ya kuku wa kufuga na kula,kienyeji na chotara nitafute,ukihitaji vifaranga na mayai ya kutotolesha tafadhali usisite kunitafuta,karibuni sana wakuu.
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni msaada kwa anayejua wapi nitapata machimbo ya chakula cha kuku chotara, kama uduvi, mahindi paraza, mashudu, pumba za mahindi nk kwa bei rahisi mkoani RUVUMA HASA KWA WILAYA YA MBINGA??
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Habari ndugu, Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…