Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
0 Reactions
6 Replies
583 Views
Wenye exprience nipeni mwongozo boti ninayo tayari na mota pamoja na net nipeni profit and loss za hii biashara Eneo la uvuvi ni Mtwara
2 Reactions
37 Replies
8K Views
Kuna tofauti gani ya EC na SC kwenye chupa za viwatilifu na matumizi yake yakoje katika kupulizia mmea? Naomba msaada
1 Reactions
2 Replies
304 Views
Poleni na majukumu wakuu. Niende kwenye mada,hivi dakitari wa wanyama (vet) Muislam ana ruhusiwa kutibu nguruwe? Kama hapana, je pale vyuo vya kilimo huwa naona wakifuga wanyama tofauti tofauti...
11 Reactions
174 Replies
10K Views
mdogo wangu kachaguliwa SUA diploma in seed technology baada ya kumaliza form four na kupata two akaomba akapata hiyo anaeijua kiundani Kwa WiGo mpana naomba msaada? na Inatofauti ipi na crop science?
0 Reactions
4 Replies
663 Views
Habari zenu. Je, kuna mtu amewahi kujikuta katika nafasi ya kuwa na soko la kimataifa la mazao lakini akakosa mtaji wa kuwezesha mikataba ya kibiashara? Tafadhali shiriki uzoefu wako katika...
1 Reactions
0 Replies
172 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Naomba mzoefu wa kilimo cha Kakao kwa mkoa wa Tanga au Morogoro ani pm tuwasiliane. Nahitaji kupata uzoefu na kujifunza zaidi kwa MTU anayefanya...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu salaam. Niko hapa mkoa wa Geita nilikuwa nashida ya kupata ng'ombe wa maziwa ambao wanaweza kutoa angalu Lita 20 kwa siku. Mwenye uelewa sehem napo weza pata hawa ng'ombe! Msaada wakuu...
3 Reactions
4 Replies
571 Views
Kwa mahitaji ya uduvi safi kwaajili ya chakula ya kuku piga +255679903535 Karibu sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wajf leo nimeamua kuanzisha hii thread inayohusu ufugaji wa ng'ombe wa kisasa /maziwa kwa minajiri ya kujaribu kusolve changamoto mbalimbali zinazowakumba wafugaji wa...
12 Reactions
59 Replies
21K Views
Wanajenzi na shida na kondo chotara nipo Arusha
2 Reactions
2 Replies
351 Views
Hello wakulungwa Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers Nataka kufuga kuku 1000 layers Kampuni Interchic. Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwema wakuu kuna shamba linauzwa, lipo moshi karibu na nyumba ya Mungu, linafaa kulima vitu mbali mbali. Lina ukubwa wa hekari 24, bei ni 80m. Karibu Dm
2 Reactions
3 Replies
576 Views
Wasalamu wadau, Ninajiandaa kwa kilimo cha alizeti. Naomba kwa anayefahamu mbegu nzuri, inayotoa alizeti na mafuta mengi anijuze. Asanteni na Mungu awabariki
0 Reactions
17 Replies
21K Views
Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha. Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia...
2 Reactions
21 Replies
8K Views
Naomba kwa anayejua Sumu ya kumuangamiza kicheche anijuze! Maana wananisumbua mno, wanakula mayai saana kwenye Banda la kuku wangu
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari za mapumziko! Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu...
1 Reactions
3 Replies
395 Views
Wakuu kunasiku nilipost humu kuhusu Hydroponic techinology, Ila kama ilivyo kawaida yetu thread kama hizi huwa watu wanapotezea, Ila ukweli ni kwamba hii tekinolojia ni nzuri sana na inaweza kuwa...
15 Reactions
490 Replies
250K Views
Sijui soko la Sasa la pilipili like ila ningependa kujua ili nilinganishe na wakati huo pilipili ikishakuwa tayari Hivyo naombeni kujuzwa soko lake likoje yaani pilipili inauzwaje kuanzia kipimo...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
VYOMBO VYA CHAKULA KWAJILI YA KUKU CHICKEN FEEDER NDOGO ZA KILO MBILI TUNAUZA VIFAA VYA UFUGAJI KWA BEI NAFUU JUMLA NA REJAREJA Hizi ni bei zetu za vyombo kuanzia pc 10 1. Small Chicken...
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…